Views za Harmonize YouTube kupanda ghafla zinatia shaka

Views za Harmonize YouTube kupanda ghafla zinatia shaka

Views nyingi manake hata demand ni kubwa kuna watu wameachia minyimbo kibao ila shows hawana au hazivuki hata 2.

Sadala tayari huko DRC na Gambia ana show, mkimaliza kwenye Views njooni kwenye show,hao views baada ya mwezi Sadala anarudi kwenye nafasi yake kama kawaida.
Screenshot_20210704-072727_Chrome.jpg
Screenshot_20210703-220900_Instagram.jpg
 
harmo hajanunua views bt kuna kundi analilipa ajili ya kuview mara nyingi ajili ya kupandisha views haraka ndo maana like na comment zimeganda, kama zingekua views za kawaida kwa speed ilokua nayo attitude saivi ingekua na 30m+ bt imegandia 12m+ na sidhani kama itakuja fikisha hata 20m
Yaan unamaanisha kikundi cha watu million moja HARMONIZE anakilipa ili kiview nyimbo

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Huyu mtoto fala sana na cjui anapata faida gan aiseee! jana kabla ya gemu la simba na yanga tulikuwa na mshkaji angu, tukaview, alikuwa ana 1.9M+!

Night baada ya kutoka kwny game ya ukraine na uingereza jamaa yangu akanambia sandakalawe imefikisha views 3.8M+...

Just imagine, masaa km 8 hv inapata views karibia 1.9M+ na sio new release,

Hapa kuna namna mmakonde anafanya sio bure.!
Hawa wamakonde wanataka kutuharibia mziki wetu
Aisee kwa hiyo mkaamuaje sasa?
 
Njooni tujadili kupanda kwa viewers wa nyimbo zake , je ni kweli ananunua viewers.

Nyimbo yake ya sandakalawe ilikuwa na viewers 400k baada ya masaa machache ikawa na viewers 1.5m

Kiyo video iliwekwa

Ikatolewa ikiwa na views kwa madai ya copyright

Kisha imerudishwa tena na viewers wake

Youtube haununui views ndugu
 
Kasema ikifika mil 5 anaachia nyingine kwa hiyo MTULIE .
 
Back
Top Bottom