Views za Harmonize YouTube kupanda ghafla zinatia shaka

Trending zinawekwa kitaifa hiizo inaweza kuwa na more views lakini umetrend zaidi congo,Kenya na Uganda but Tanzania umezidiwa kwenye trending kwahio utaonekana upo chini trending Tanzania lakini katika hizoo nchi nyingine ukawa juu zaidi
Anha asante kwa muongozo.
 
Halafu na bado likes ziko vile vile, dislikes vile vile, na still trending alikua namba 7.. [emoji38][emoji38] mmakonde anadhani kila mtu ni stupid
 
harmo hajanunua views bt kuna kundi analilipa ajili ya kuview mara nyingi ajili ya kupandisha views haraka ndo maana like na comment zimeganda, kama zingekua views za kawaida kwa speed ilokua nayo attitude saivi ingekua na 30m+ bt imegandia 12m+ na sidhani kama itakuja fikisha hata 20m
 
Harmonize anajitekenya na kujicheka maenyewe. Kwa watu wenye uelewa kuhusu haya mambo (Acha wazee wa ushabiki) wanaona kabisa kuwa anadanganya. Mziki wetu huu una safari sana, walio karibu nae wamshauri, anaaibika.
kuna kipindi Mond alikuwa anaiba watu walimkatalia katukatu, leo zamu yake ndio mnakuja na akili ya kununua, ondoe upuuzi wenu
 
kuna kipindi Mond alikuwa anaiba watu walimkatalia katukatu, leo zamu yake ndio mnakuja na akili ya kununua, ondoe upuuzi wenu
views za mond zilikuwa zinaeleweka, yaani views, comments, trending, likes na dislikes zote zinapanda kwa pamoja, hata km utaitrace kiaje... ila mmakonde kagandisha kila kitu isipokuwa views tu... hapo unatoa maoni gan mkuu? inawezekana vipi watu 1M+ waangalie halafu wasilike, wala kukoment?
 
Lilivyo lijinga baada ya kuona its too much. Kawambia wasimamishe robot, now imekwama kwenye 3.8.
Nadhani itakuwa kawaambia now waanze kupandisha likes.

Ambao wako jikoni wanampikia hizo data nadhani hesabu iliwapiga chenga.
Inamsaidia nini!??
 
Njooni tujadili kupanda kwa viewers wa nyimbo zake , je ni kweli ananunua viewers.

Nyimbo yake ya sandakalawe ilikuwa na viewers 400k baada ya masaa machache ikawa na viewers 1.5m
Nyimbo nzuri mimi nimeisikiliza zaidi ya mara 20 YouTube sasa tupo wangapi kama mimi
 
Yani kama ule salute ni jimbo baya.. Halafu kamata si utani mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…