Views za Harmonize YouTube kupanda ghafla zinatia shaka

Views nyingi manake hata demand ni kubwa kuna watu wameachia minyimbo kibao ila shows hawana au hazivuki hata 2.

Sadala tayari huko DRC na Gambia ana show, mkimaliza kwenye Views njooni kwenye show,hao views baada ya mwezi Sadala anarudi kwenye nafasi yake kama kawaida.
 
Yaan unamaanisha kikundi cha watu million moja HARMONIZE anakilipa ili kiview nyimbo

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Aisee kwa hiyo mkaamuaje sasa?
 
Njooni tujadili kupanda kwa viewers wa nyimbo zake , je ni kweli ananunua viewers.

Nyimbo yake ya sandakalawe ilikuwa na viewers 400k baada ya masaa machache ikawa na viewers 1.5m

Kiyo video iliwekwa

Ikatolewa ikiwa na views kwa madai ya copyright

Kisha imerudishwa tena na viewers wake

Youtube haununui views ndugu
 
Kasema ikifika mil 5 anaachia nyingine kwa hiyo MTULIE .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…