Views za wimbo wa King Kiba Zashuka Youtube

Anafutia wapi access ya kufanya hivyo tumenyimwa....yan hapa ukishaandika Uzi unakuwa Mali ya JF

Robidinyo badilisha tu ID la sivyo thread zako zijazo zitakuwa zinapata tabu sana.... Kingine muombe Melo akufutie huu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna group hapo amejiunga linaitwa Spartacus mnyama mkali πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
HAyah mambo ya viewerz kuna haja ya kutolewa ufafanuzi na Youtube wenyewe..
Hakuna cha kutolea ufafanuzi hapo... ku-temper Views za Youtube si kazi ndogo kama ambavyo watu wanaaminishana!!

Yaani hao WCB miaka nenda rudi wawe na uwezo wa kupunguza views wa wengine na kujiongezea views wao... ni stupid tu ndie anaweza kuamini jambo kama hilo!

Sio kwamba watu hawajaribu ku-temper lakini system ya Google/YouTube ipo very sensitive, na bots zinafanya kazi 24/7 huku zikifyeka any doubtful clicks.

Na kwa kawaida kila mwaka Google huwa wanabadili algorithm, na ndio maana hata wanaofanya masuala la SEO unakuta say, technique iliyokuwa inafanya vizuri back in 2018, inakuwa sio bora tena in 2020 kwa sababu Google wamesha-change algorithm zao!

Na usisahau, kuna kampuni mbalimbali na kubwa duniani zinalipa millions of dollars kutangaza biashara zao YouTube na baadhi ya hizi kampuni ni hi-tech companies!

Unadhani wangeendelea ku-invest pesa zao kwenye platforms ambazo wanafahamu hata watoto wa Tandale wanaweza ku-temper mifumo yake?!
 
πŸ’―
 
Nasikia walikosea kumuongezea viewers mpaka wakafikia 100k na wala hamkulalamika, sasa kwann amepunguziwa sasa ili akae kwa position yake mnalialia
 

Nimepata mwanga mkuu.. Hongera
 
Anafutia wapi access ya kufanya hivyo tumenyimwa....yan hapa ukishaandika Uzi unakuwa Mali ya JF

Robidinyo badilisha tu ID la sivyo thread zako zijazo zitakuwa zinapata tabu sana.... Kingine muombe Melo akufutie huu [emoji23][emoji23][emoji23]
Siwezi badili ID mi napeta hata hawanisumbui ntaendelea kushusha nondo za koromelo mpaka waache mziki wa janja janja
 
Kuna vitu kuvifanya inatakiwa uwe na kiwango fulani cha uchizi kichwani..moja ya vitu hivyo ni Kumshabikia Alikiba.
Kuna uhusiano mkubwa kati ya kumshabikia Alikiaba na kua tahira maandazi...Umetu prove mtoa mada na wenzio
Sikutegemea hii comment ingetolewa na mtu anayejiita Da Vinci

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…