Balvejmumt
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,224
- 2,938
Naomba ukuje mimi ninalo group moja tuBora kukaa single kuliko kuingia kwenye relation na mwanaume anamiliki magroup ya WhatsApp zaidi ya 10......
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba ukuje mimi ninalo group moja tuBora kukaa single kuliko kuingia kwenye relation na mwanaume anamiliki magroup ya WhatsApp zaidi ya 10......
100/100WCB hawana uwezo wowote ule wa kuchange youtube algorithm acheni ushenzi.
Ngoja niwaeleze YouTube view count algorithm inavyofanya kazi. Kila ukifungua video youtube inajaribu kuchukua data mbalimbali kuona kama wewe in unique viewer au la, account yako uliyologin, ip address, na id zinazotambulisha machine unayotumia kama TV, laptop au simu, hizo zinaenda kwenye server zao then wanatumia hesabu tu kujaribu kuhisi kama ni view fake au halali, kama ni halali itahesabika kama ni feki haitahesabika. Kinachotokea hua ni views zinazidi kupanda kila wakati lakini kila baada ya dakika chache computer inarun kucheki views zilizohesabiwa kama zote ni halali au la inabadilisha namba.
Kuna factor nyingine pia zinazochangia kuona namba tofauti inahusika na caching an scaling ilivyo kwenye site kubwa kama Youtube hiyo ni complex topic sitoeleza hapa watu wakaelewa kama hawajasoma computer science au kua na uelewa deep wa computer.
So weka kichwani kua ukiona views zimeshuka kiasi hicho basi zile views zilikua fake YouTube wameamua kutozihesabu, tatizo sio WCB wala nani, wcb ni sisimizi kwa Google, hata google hawawatambui wcb ni akina nani, mnawaona wakubwa sana Tz ila ni nothing kwa giants kama youtube.
yaani huyu jamaa bwana sijawahi kumkubali kila siku kulia liaKuna vitu kuvifanya inatakiwa uwe na kiwango fulani cha uchizi kichwani..moja ya vitu hivyo ni Kumshabikia Alikiba.
Kuna uhusiano mkubwa kati ya kumshabikia Alikiaba na kua tahira maandazi...Umetu prove mtoa mada na wenzio
Hapa nimetoa taarifa, na hii ndiyo reply yangu ya mwisho. Siku nyingine ukiniona kwenye sredi ya huyu jamaa nitemee makohozi usoni mkuu.
Naona tunapishana tuBibie umeadimika siku hizi!
Hua naongea mara moja mbili nikiona anaendelea kunibishia huku hata akili kichwani hana namuweka kwenye block list tu, sina muda na ujinga mimi.100/100
Huko kwenye maswala ya IP usiwapeleke manake unaweza ukajikuta umetokea IPv6.
Watu wengi hawajui hizi system zinavyofanya Nazi,kuna backup za kutosha,Redundant links,bado kuna Robots zinazofanya auditing ktk kila video,kila sekunde.
Kuna watu washazoea kulalamika ,hata uwaeleshe vp hawakuelewi cha msingi unawacha.
Linaweza kuwa moja halafu ni la Mariam mabiriani
Usifanye hivo Spartacus mnyama mkali atakosa wachangiaji aisee 😃😃Hapa nimetoa taarifa, na hii ndiyo reply yangu ya mwisho. Siku nyingine ukiniona kwenye sredi ya huyu jamaa nitemee makohozi usoni mkuu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Linaweza kuwa moja halafu ni la Mariam mabiriani
WCB hawana uwezo wowote ule wa kuchange youtube algorithm acheni ushenzi.
Ngoja niwaeleze YouTube view count algorithm inavyofanya kazi. Kila ukifungua video youtube inajaribu kuchukua data mbalimbali kuona kama wewe in unique viewer au la, account yako uliyologin, ip address, na id zinazotambulisha machine unayotumia kama TV, laptop au simu, hizo zinaenda kwenye server zao then wanatumia hesabu tu kujaribu kuhisi kama ni view fake au halali, kama ni halali itahesabika kama ni feki haitahesabika. Kinachotokea hua ni views zinazidi kupanda kila wakati lakini kila baada ya dakika chache computer inarun kucheki views zilizohesabiwa kama zote ni halali au la inabadilisha namba.
Kuna factor nyingine pia zinazochangia kuona namba tofauti inahusika na caching an scaling ilivyo kwenye site kubwa kama Youtube hiyo ni complex topic sitoeleza hapa watu wakaelewa kama hawajasoma computer science au kua na uelewa deep wa computer.
So weka kichwani kua ukiona views zimeshuka kiasi hicho basi zile views zilikua fake YouTube wameamua kutozihesabu, tatizo sio WCB wala nani, wcb ni sisimizi kwa Google, hata google hawawatambui wcb ni akina nani, mnawaona wakubwa sana Tz ila ni nothing kwa giants kama youtube.
Duh! Wewe usiyemshabikia mbona hatuoni cha maana toka kwako. Acha roho ya kichawi bwana mdogo!Kuna vitu kuvifanya inatakiwa uwe na kiwango fulani cha uchizi kichwani..moja ya vitu hivyo ni Kumshabikia Alikiba.
Kuna uhusiano mkubwa kati ya kumshabikia Alikiaba na kua tahira maandazi...Umetu prove mtoa mada na wenzio
Sawa mamaNaona tunapishana tu
Kuna vitu kuvifanya inatakiwa uwe na kiwango fulani cha uchizi kichwani..moja ya vitu hivyo ni Kumshabikia Alikiba.
Kuna uhusiano mkubwa kati ya kumshabikia Alikiaba na kua tahira maandazi...Umetu prove mtoa mada na wenzio
Nmemjibu alocoment,ulopanic n ww coz hakuwa yako bt ngoja nikupe kidogo na ww...kwanza huyo video queen siyo dadangu ni mdangaji tu wa mjini na hizo ndo shughuli zake ila mlivyo na tabia za kichoko kama nilivyosema alivyokuwa na chibu mlimsifia now katoka mnamponda hizo ni dalili za UCHOKO kama nlivyosema juu,pili naona umeumiaaaaaa na comment yangu kwa choko mwenzio ukaamua uniletee na mm UCHOKO pole me sifiri machoko maji nataka choko classic kama yule aloandika UCHOKO pale juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
hivi kati ya alikiba na wewe nani mzembe jamaa yangu[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu siku zote wanaofeli kwenye mambo yao na wakakosa ujasiri hawaishi kulialia na visingizio ili waonewe huruma....imekua desturi kwa wasanii wakifeli kuhusisha WCB kama ilivyo zamani kuwahusisha clouds Ali kiba ni mzembe miaka yote inajulikana uzuri injinia wao amefafanua vizuri kabisa na aibu zimewashukia.
Hili tukio nafananisha na mmakonde alipoenda kupiga shoo ya sayona mbeya aliomba kibali mwisho saa 4 usiku yeye akapiga mpaka saa 6 usiku polisi walipfanya kazi yao akakimbilia mtandaoni kulia lia na kuwashtumu management yake ya zamani kuwa inamfanyia fitna baadae RPC wa mbeya akamlipua na barua akaitoa aibu ikamrudia na kufuta ile post...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Depal unaniua [emoji23][emoji23][emoji23]Linaweza kuwa moja halafu ni la Mariam mabiriani