Views za wimbo wa King Kiba Zashuka Youtube

Views za wimbo wa King Kiba Zashuka Youtube

Anafutia wapi access ya kufanya hivyo tumenyimwa....yan hapa ukishaandika Uzi unakuwa Mali ya JF

Robidinyo badilisha tu ID la sivyo thread zako zijazo zitakuwa zinapata tabu sana.... Kingine muombe Melo akufutie huu [emoji23][emoji23][emoji23]
Apate tabu kisa wadada wa mjini mashabiki wa WCB hamna mwanangu wakazie viazi hawa....mzigo upo trending wanaumia hawa hasira wanakuletea ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unamuita shoga wakati dada zenu wanalia kila siku,akiwemo huyo video queen wenu,sina hakika na wew mwenyewe kama hajakulamba that's why too much hate

huyu kapanic hahahahaaa.....Spartacus the mnyama mkali....
Nmemjibu alocoment,ulopanic n ww coz hakuwa yako bt ngoja nikupe kidogo na ww...kwanza huyo video queen siyo dadangu ni mdangaji tu wa mjini na hizo ndo shughuli zake ila mlivyo na tabia za kichoko kama nilivyosema alivyokuwa na chibu mlimsifia now katoka mnamponda hizo ni dalili za UCHOKO kama nlivyosema juu,pili naona umeumiaaaaaa na comment yangu kwa choko mwenzio ukaamua uniletee na mm UCHOKO pole me sifiri machoko maji nataka choko classic kama yule aloandika UCHOKO pale juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WCB hawana uwezo wowote ule wa kuchange youtube algorithm acheni ushenzi.

Ngoja niwaeleze YouTube view count algorithm inavyofanya kazi. Kila ukifungua video youtube inajaribu kuchukua data mbalimbali kuona kama wewe in unique viewer au la, account yako uliyologin, ip address, na id zinazotambulisha machine unayotumia kama TV, laptop au simu, hizo zinaenda kwenye server zao then wanatumia hesabu tu kujaribu kuhisi kama ni view fake au halali, kama ni halali itahesabika kama ni feki haitahesabika. Kinachotokea hua ni views zinazidi kupanda kila wakati lakini kila baada ya dakika chache computer inarun kucheki views zilizohesabiwa kama zote ni halali au la inabadilisha namba.
Kuna factor nyingine pia zinazochangia kuona namba tofauti inahusika na caching an scaling ilivyo kwenye site kubwa kama Youtube hiyo ni complex topic sitoeleza hapa watu wakaelewa kama hawajasoma computer science au kua na uelewa deep wa computer.

So weka kichwani kua ukiona views zimeshuka kiasi hicho basi zile views zilikua fake YouTube wameamua kutozihesabu, tatizo sio WCB wala nani, wcb ni sisimizi kwa Google, hata google hawawatambui wcb ni akina nani, mnawaona wakubwa sana Tz ila ni nothing kwa giants kama youtube.
 
Back
Top Bottom