Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha,nahamia dodoma mkuu,nataka uza nkapambane kule,Magufuli amebana Kila idara, watu wamerudi kwa wake zao Kula chakula cha boarding, ugali maharage
DaaahMagufuli amebana Kila idara, watu wamerudi kwa wake zao Kula chakula cha boarding, ugali maharage
Mtung na pipe yake,na kile ki regulator let me add up,mtungi 50,regulator elf 10,na pipe elf5,so lete 65 mjomba,..nakupa uwanja wa kujitetea hapoNataka mtungi na pipe bei gani
Hilo jiko la wazi linaenda 90,.hilo la kufunika linaenda 190,gas mtungi na plate zake ambao ni mpya kabsa 170,kabat la chips 110 mjomba. 0628489905,..nchek humo kwa maongezi mubasharaWeka bei sasa
Eeh bwana wako fasta tayar kashapatkana mtuHilo jiko lishapata MTU mkuu hapo unapohama?
Kuna jamaa tayar ameshalichkuaMimi nahitaji kukodi jiko liko sehemu gani??
Sawa. AsanteKuna jamaa tayar ameshalichkua
Dagaa siyo chakula rahisi. Hivi bei ya dagaa kilo ni shs ngapi kwa sasa??!Dagaa, mchicha, kebichi na maharage vina heshimika sana majumbani siku hizi
Jiko LA kufunika 150000Hilo jiko la wazi linaenda 90,.hilo la kufunika linaenda 190,gas mtungi na plate zake ambao ni mpya kabsa 170,kabat la chips 110 mjomba. 0628489905,..nchek humo kwa maongezi mubashara
Utasikia Leo naomba unichanganyie dagaa n.a. bamia au mchicha ni nimemisi sana.Dagaa, mchicha, kebichi na maharage vina heshimika sana majumbani siku hizi
Mkuu lakini hivi vyakula vinaimarisha afya ya mwili. Nyama ni full magonjwaUtasikia Leo naomba unichanganyie dagaa n.a. bamia au mchicha ni nimemisi sana.