Duu! Kumbe mzimu wa huyu jasusi tunao humu JamiiForums!Eli Cohen vifaa vyako vimepatikana tunafanyaje?
Yupo huyu mwambaDuu! Kumbe mzimu wa huyu jasusi tunao humu JamiiForums!
Huyu mwamba nilikuwa namsoma juu juu kumbe alikuwa ni hatari sanaKatika operesheni ya siri, Mossad ya Israel imepata karibu vitu 2,500 vya kibinafsi na vinavyohusiana na ujasusi ambavyo vilikuwa vya jasusi maarufu wa Israeli Eli Cohen, ambaye aliuawa nchini Syria miaka 60 iliyopita.
Vitu hivyo ni pamoja na:
• Barua zilizoandikwa kwa mkono kwa familia yake
• Picha za wakati wake akiwa nchini Syria
• Funguo za nyumba yake Damascus
• Wosia wake wa awali, ulioandikwa saa chache kabla ya kuuawa kwake
• Nyaraka rasmi za Syria, ikijumuisha rekodi za mawasiliano yake na maafisa wakuu wa Syria
Ahueni hii isiyo na kifani inaashiria mafanikio makubwa ya kijasusi na inakuja katika kumbukumbu ya miaka 60 ya kunyongwa kwa Cohen huko Damascus (Mei 18, 1965).
Eli Cohen alijipenyeza katika serikali ya Syria katika miaka ya 1960 na kutoa taarifa za kijasusi ambazo ziliisaidia Israel wakati wa Vita vya Siku Sita. Syria imekataa kurejesha mabaki ya mwili wake hadi leo.
Hongera sana kwa MOSSAD kwa kuweza kufanikisha kuzipata hizo nyaraka hakika mmeonyesha umahiri wenu katika ujasusi!!!!
Katika operesheni ya siri, Mossad ya Israel imepata karibu vitu 2,500 vya kibinafsi na vinavyohusiana na ujasusi ambavyo vilikuwa vya jasusi maarufu wa Israeli Eli Cohen, ambaye aliuawa nchini Syria miaka 60 iliyopita.
Vitu hivyo ni pamoja na:
• Barua zilizoandikwa kwa mkono kwa familia yake
• Picha za wakati wake akiwa nchini Syria
• Funguo za nyumba yake Damascus
• Wosia wake wa awali, ulioandikwa saa chache kabla ya kuuawa kwake
• Nyaraka rasmi za Syria, ikijumuisha rekodi za mawasiliano yake na maafisa wakuu wa Syria
Ahueni hii isiyo na kifani inaashiria mafanikio makubwa ya kijasusi na inakuja katika kumbukumbu ya miaka 60 ya kunyongwa kwa Cohen huko Damascus (Mei 18, 1965).
Eli Cohen alijipenyeza katika serikali ya Syria katika miaka ya 1960 na kutoa taarifa za kijasusi ambazo ziliisaidia Israel wakati wa Vita vya Siku Sita. Syria imekataa kurejesha mabaki ya mwili
Yaani 6 day war yeye ndie wa kushukuriwa na Israel, kama walimpandikiza kama mfanyabiashara kutoka Argentina na alikuwa anachukua uwaziri wa uchumi.Huyo ndiye aliwashtua Majeshi ya Israel na ndiye alifanikisha hilo Shambulio la mapema (Pre-emptive strike)
Uenda ikawaVipi Kama Rais wa sasa wa Syria ni Mossad
Ya siri ila ww unaijua? Hahhaha.Katika operesheni ya siri
Ila wengine wakifanya hayo mnawaita magaid, ila wakifanya Israel inaitwa ujasusi na ukomandoo!! Akili za muafrika sijui zina laana gani.Huyo ndiye aliwashtua Majeshi ya Israel na ndiye alifanikisha hilo Shambulio la mapema (Pre-emptive strike)
It's just a matter of time, Hitler mwingine atazaliwa. Huwa nasema humu kuwa atakayemmaliza Israel ni mkristo sio Islamic nations, rafiki akujuaye ni rahisi kukumaliza kuliko adui asiyekufaham!!Huyu mwamba for sure kazi yake iliiokoa Israel dhidi ya maangamizi ya kishetani enzi hizo ikijitafuta.
Else, Israel ingeshafutwa katika uso wa dunia sawasawa na slogan ya kubwa la magaidi kila uchao nowadays! Israel imepitia mitihani sio poa.
Kwan huyo alijilipua kam hao unaotaka kuwausisha ? Tumia akil aseeIla wengine wakifanya hayo mnawaita magaid, ila wakifanya Israel inaitwa ujasusi na ukomandoo!! Akili za muafrika sijui zina laana gani.