Vifaa vya kijasusi vya aliyekuwa Jasusi Eli Cohen vyapatikana huko Syria!!!

Cohen alikuwa arab jew.. ndio maana alichanganyika na Syrian wakafahamu ni mwarabu mwenzao kingine alikuwa anaongea kiarabu fluent..
Hakuna Arab Jew, hili ni tusi kubwa sana kwa hawa watu wawili.

Huwezi ukamuita Mwarabu a Jew na wala ukamuita Myahudi an Arab, hii ni very offensive.

Uarabu sio muonekano ni Utamaduni same as Uyahudi sio muonekano ni utamaduni/imani.

Wayahudi na Waarabu wote ni semitic and Levantines.

Wayahudi wengi wanaweza kuonekana kama Wasyria, Wayemen (Mkuu wa sasa Jeshi la Israel, ni Yemenite Jew), Wa Iraq (Wayahudi wengi wa sasa wametokea Iraq, Mfano yule Ben Gvir asiyetaka hata maji yaende Gaza), Wamorocco n.k

Pia Waarabu wanaitwa Wasyria, Walebanon na Wanamuonekano tofauti na Waarabu wa kusini kama Yemen, Oman na Saudia.
Watu wa Levant hasa Syria wanafanana na Wazungu hadi wengine wana macho ya blue, kijani
 
Taarifa nzito sana hiyo. Aliliokoa taifa lake kufutwa katika uso wa dunia kama maadui walivyokuwa wamedhamiria. Zilikuwa silaha za maangamizi hasa.

And by then taifa lilikuwa bado changa baada ya kurudi katika ardhi yake toka uhamishoni walikokaa for centuries.
Syria waliendelea kuwa nazo,mbona hawakuangamia!?.. Israel ilipata kila kitu toka ulaya na marekani,Hadi msaada wa askari,hawakuanza alif
 
Huna lolote Mzee una tetea wavaa kobazi wenzako ambao ni magaidi tu
Hujaelewa hata nachoongea, what I mean is tunakua biased sana kwa Israel wakifanya uhuni mnaita ujasusi ila wakifanya wapinzani wao mnaita ugaidi.

Same to nuclear wakiwa nayo wayahudi ni halali ila wa Iran wakitengeneza wanasema ni ugaidi!! Yaani nani anayeamua huu ni ujasusi au nini ni ugaidi?
 
Katika operesheni ya siri, Mossad ya Israel imepata karibu vitu 2,500 vya kibinafsi na vinavyohusiana na ujasusi ambavyo vilikuwa vya jasusi maarufu wa Israeli Eli Cohen, ambaye aliuawa nchini Syria miaka 60 iliyopita.

Vitu hivyo ni pamoja na:
• Barua zilizoandikwa kwa mkono kwa familia yake
• Picha za wakati wake akiwa nchini Syria
• Funguo za nyumba yake Damascus
• Wosia wake wa awali, ulioandikwa saa chache kabla ya kuuawa kwake
• Nyaraka rasmi za Syria, ikijumuisha rekodi za mawasiliano yake na maafisa wakuu wa Syria

Ahueni hii isiyo na kifani inaashiria mafanikio makubwa ya kijasusi na inakuja katika kumbukumbu ya miaka 60 ya kunyongwa kwa Cohen huko Damascus (Mei 18, 1965).

Eli Cohen alijipenyeza katika serikali ya Syria katika miaka ya 1960 na kutoa taarifa za kijasusi ambazo ziliisaidia Israel wakati wa Vita vya Siku Sita. Syria imekataa kurejesha mabaki ya mwili wake hadi leo.

Hongera sana kwa MOSSAD kwa kuweza kufanikisha kuzipata hizo nyaraka hakika mmeonyesha umahiri wenu katika ujasusi!!!!
kama alipata kunyongwa hadi kufa basi jambo jema
 
Syria waliendelea kuwa nazo,mbona hawakuangamia!?.. Israel ilipata kila kitu toka ulaya na marekani,Hadi msaada wa askari,hawakuanza alif
Msome vizuri utajua alifanya nini katika six day of war. Fuatilia jinsi miti aliyo panda kimakusudi na kiakili ilivyo wezesha majeshi kulenga shabaha kiukamilifu
 
Kuna hii series inaitwa The Spy imeelezea sana kuhusu huyu Eli Cohen.
download.jpeg
 
Msome vizuri utajua alifanya nini katika six day of war. Fuatilia jinsi miti aliyo panda kimakusudi na kiakili ilivyo wezesha majeshi kulenga shabaha kiukamilifu
Acha uwongo wewe,nimetazama documentary kibao za huyo jamaa,aliambiwa asitumie mara kwa mara mashine ya kutuma taarifa,yeye akawa anatumia sana hadi akadakwa ndani kwake
 
Kabla hujasema uwongo, jaribu kufanya research hata ya juu juu kidogo, sisi wengine tunapenda kusoma na kijifunza mapya kila siku.
Kimekupa kitu kidogo utafute miti aliyo panda kimkakati eti anawapenda wanajeshi wa syria wawe wanapumzika kwenye kivuli.
Miti aliyo panda ndio iliyo sababisha kutekwa kwa milima Golan na kusababisha vifo vingi vya wanajeshi wa adui.
Hilo ni moja tafuta mengine ndipo utajua kwanini nchini Israel anaenziwa kama shujaa na mitaa mingi inaitwa kwa jina lake Eli Cohen
 
Katika operesheni ya siri, Mossad ya Israel imepata karibu vitu 2,500 vya kibinafsi na vinavyohusiana na ujasusi ambavyo vilikuwa vya jasusi maarufu wa Israeli Eli Cohen, ambaye aliuawa nchini Syria miaka 60 iliyopita.

Vitu hivyo ni pamoja na:
• Barua zilizoandikwa kwa mkono kwa familia yake
• Picha za wakati wake akiwa nchini Syria
• Funguo za nyumba yake Damascus
• Wosia wake wa awali, ulioandikwa saa chache kabla ya kuuawa kwake
• Nyaraka rasmi za Syria, ikijumuisha rekodi za mawasiliano yake na maafisa wakuu wa Syria

Ahueni hii isiyo na kifani inaashiria mafanikio makubwa ya kijasusi na inakuja katika kumbukumbu ya miaka 60 ya kunyongwa kwa Cohen huko Damascus (Mei 18, 1965).

Eli Cohen alijipenyeza katika serikali ya Syria katika miaka ya 1960 na kutoa taarifa za kijasusi ambazo ziliisaidia Israel wakati wa Vita vya Siku Sita. Syria imekataa kurejesha mabaki ya mwili wake hadi leo.

Hongera sana kwa MOSSAD kwa kuweza kufanikisha kuzipata hizo nyaraka hakika mmeonyesha umahiri wenu katika ujasusi!!!!
Huyu ndo greatest Spy of all the time Kwa taifa la Israel.... Wote kina Benjamin Netanyahu ni Matokeo ya huyu jamaa
 
Tena aliachwa alipotaka kujiunga na MOSSAD. Baada ya muda kupita na kukosa mtu sahihi kuingia Syria kupindua utawala wakafungua mafaili wakaona yeye ndo anaye faa maana ni Jewish Arab na baba yake alitokea Syria akaenda Egypt.
Wakati huo chama cha ba'ath chini ya Assad mzee ni haramu nchini Syria yeye ndie aliye pewa pesa na kuzimwaga kwenye chama mpaka kikachukua mamlaka
 
Kabla hujasema uwongo, jaribu kufanya research hata ya juu juu kidogo, sisi wengine tunapenda kusoma na kijifunza mapya kila siku.
Kimekupa kitu kidogo utafute miti aliyo panda kimkakati eti anawapenda wanajeshi wa syria wawe wanapumzika kwenye kivuli.
Miti aliyo panda ndio iliyo sababisha kutekwa kwa milima Golan na kusababisha vifo vingi vya wanajeshi wa adui.
Hilo ni moja tafuta mengine ndipo utajua kwanini nchini Israel anaenziwa kama shujaa na mitaa mingi inaitwa kwa jina lake Eli Cohen
Cohen amekua focal point ya propaganda za ujasusi wa israel,wanamkuza Ili idara yao ionekane konki,lakini hakuna cha maana,hizo ni hekaya tu,huhitaji miti kama alama ya target vitani
 
Hakuna Arab Jew, hili ni tusi kubwa sana kwa hawa watu wawili.

Huwezi ukamuita Mwarabu a Jew na wala ukamuita Myahudi an Arab, hii ni very offensive.

Uarabu sio muonekano ni Utamaduni same as Uyahudi sio muonekano ni utamaduni/imani.

Wayahudi na Waarabu wote ni semitic and Levantines.

Wayahudi wengi wanaweza kuonekana kama Wasyria, Wayemen (Mkuu wa sasa Jeshi la Israel, ni Yemenite Jew), Wa Iraq (Wayahudi wengi wa sasa wametokea Iraq, Mfano yule Ben Gvir asiyetaka hata maji yaende Gaza), Wamorocco n.k

Pia Waarabu wanaitwa Wasyria, Walebanon na Wanamuonekano tofauti na Waarabu wa kusini kama Yemen, Oman na Saudia.
Watu wa Levant hasa Syria wanafanana na Wazungu hadi wengine wana macho ya blue, kijani
Si kweli..
 
Taarifa ya maana aliyotoa ni ya Syria kuingiza silaha toka Soviet,halafu kudakwa mbona alidakwa nyumbani kwake na mashine yake ya kutuma taarifa
Hivi ukiwa muongo mnalipwa shillingi ngapi? Kila kitu mnataka kupotosha tu!!

Taarifa ya maana aliyoitoa ndiyo iliyofanikisha Pre-emptive strike aliokoa watu wengi sana na Israel ikaibuka Mshindi.
Si kweli..
Siyo kweli nini? Wengine mnapenda kurukia vitu ambavyo huvijui huoni sasa unajivua uchi wao bure?

Naanza kuelewa sasa kwa nini uling’ang’ania nikupe jina la mtaa ninakoishi nikakuuliza litakusaidia nini hilo jina la mtaa? Nawe ukaendelea tu nikajua hapo Dish limeenda tenge na kweli wewe huko sawa kabisa.
 
Back
Top Bottom