Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Et nae kaja ku comment...
Daaaah 😂😂😂😂
Daaaah 😂😂😂😂
Nashukuru sana mkuu. Sasa nitapumzika kwa amani
Hizo ni ndoto za mwendawaimu!!! Farao alishindwa wakati Israel haikuwa na Jeshi Hitler alishindwa kuwamaliza wakati Israel hawana Jeshi!!!It's just a matter of time, Hitler mwingine atazaliwa. Huwa nasema humu kuwa atakayemmaliza Israel ni mkristo sio Islamic nations, rafiki akujuaye ni rahisi kukumaliza kuliko adui asiyekufaham!!
Time will tell
Taarifa ya maana aliyotoa ni ya Syria kuingiza silaha toka Soviet,halafu kudakwa mbona alidakwa nyumbani kwake na mashine yake ya kutuma taarifaHuyu mwamba for sure kazi yake iliiokoa Israel dhidi ya maangamizi ya kishetani enzi hizo ikijitafuta.
Else, Israel ingeshafutwa katika uso wa dunia sawasawa na slogan ya kubwa la magaidi kila uchao nowadays! Israel imepitia mitihani sio poa.
Taarifa nzito sana hiyo. Aliliokoa taifa lake kufutwa katika uso wa dunia kama maadui walivyokuwa wamedhamiria. Zilikuwa silaha za maangamizi hasa.Taarifa ya maana aliyotoa ni ya Syria kuingiza silaha toka Soviet,halafu kudakwa mbona alidakwa nyumbani kwake na mashine yake ya kutuma taarifa
Houthi, Hezbollah, PLO n.kNani alifanya hivyo na akaambiwa Gaidi?
Waki disclose za kwetu aibu itakayatokea ni kunwa sana.Kazi nzuri.
Sie maktaba zetu za wavaa mawani meusi hawanaga hizi historia.. Ifike wakati wa disclose basi, ili vizazi vya Gen Z viweze kujifunza na kuona kazi kubwa iliyowahi kufanywa na wao, sio zile misheni za kutupana forest west kili ama katavi.
Mfano houthi kupenyeza drone hadi ndani kabisa ya Israel mliita ugaidi.Anza Houth, Hezbollah walifanya nini na wapi?
Haya ni mafanikio makubwa sana kwa uongozi wa miaka minne ya SamiaKatika operesheni ya siri, Mossad ya Israel imepata karibu vitu 2,500 vya kibinafsi na vinavyohusiana na ujasusi ambavyo vilikuwa vya jasusi maarufu wa Israeli Eli Cohen, ambaye aliuawa nchini Syria miaka 60 iliyopita.
Vitu hivyo ni pamoja na:
• Barua zilizoandikwa kwa mkono kwa familia yake
• Picha za wakati wake akiwa nchini Syria
• Funguo za nyumba yake Damascus
• Wosia wake wa awali, ulioandikwa saa chache kabla ya kuuawa kwake
• Nyaraka rasmi za Syria, ikijumuisha rekodi za mawasiliano yake na maafisa wakuu wa Syria
Ahueni hii isiyo na kifani inaashiria mafanikio makubwa ya kijasusi na inakuja katika kumbukumbu ya miaka 60 ya kunyongwa kwa Cohen huko Damascus (Mei 18, 1965).
Eli Cohen alijipenyeza katika serikali ya Syria katika miaka ya 1960 na kutoa taarifa za kijasusi ambazo ziliisaidia Israel wakati wa Vita vya Siku Sita. Syria imekataa kurejesha mabaki ya mwili wake hadi leo.
Hongera sana kwa MOSSAD kwa kuweza kufanikisha kuzipata hizo nyaraka hakika mmeonyesha umahiri wenu katika ujasusi!!!!
Ajee tujue tunasafirisha au tunavipiga mnada.Eli Cohen vifaa vyako vimepatikana tunafanyaje?
Huna lolote Mzee una tetea wavaa kobazi wenzako ambao ni magaidi tuMfano houthi kupenyeza drone hadi ndani kabisa ya Israel mliita ugaidi.
Munich incident mliita ugaidi ilihali hakuna mtu mwingine amewahi teka kwenye Olympic.
Hata October 10 mliita ugaidi licha ya counter attack ya Hamas kwenye jeshi lenye intelijensia kubwa kama Israel.
Kwahiyo ikiwa upande wenu mnaita ujasusi, ikiwa waarabu inageuka ugaidi!! Weird
Inawezekana Kuna pandikizi ndio maana serikali inaangaika nalo kuling'ofoaSisi tunahangaika na chadema.
Msajili hadi anapangisha vijana wachadema.
Hii nchi ina watu wenye akili matope
Nafikiri hujui maana ya Ugaidi jifunze kwanza ujue maana ya Neno Ugaidi ndipo uje tuzungumze!!Mfano houthi kupenyeza drone hadi ndani kabisa ya Israel mliita ugaidi.
Munich incident mliita ugaidi ilihali hakuna mtu mwingine amewahi teka kwenye Olympic.
Hata October 10 mliita ugaidi licha ya counter attack ya Hamas kwenye jeshi lenye intelijensia kubwa kama Israel.
Kwahiyo ikiwa upande wenu mnaita ujasusi, ikiwa waarabu inageuka ugaidi!! Weird
Majasusi wa Tanzania hawajui kama Singida Black stars inamilikiwa na mtumishi wa umma.Sisi tunahangaika na chadema.
Msajili hadi anapangisha vijana wachadema.
Hii nchi ina watu wenye akili matope
Kuna muislamu kajilipua Mogadishu Somalia kauwa watu 13Kwan huyo alijilipua kam hao unaotaka kuwausisha ? Tumia akil asee