Vifaa vya kijasusi vya aliyekuwa Jasusi Eli Cohen vyapatikana huko Syria!!!

Ila wengine wakifanya hayo mnawaita magaid, ila wakifanya Israel inaitwa ujasusi na ukomandoo!! Akili za muafrika sijui zina laana gani.
Nani alifanya hivyo na akaambiwa Gaidi?
 
It's just a matter of time, Hitler mwingine atazaliwa. Huwa nasema humu kuwa atakayemmaliza Israel ni mkristo sio Islamic nations, rafiki akujuaye ni rahisi kukumaliza kuliko adui asiyekufaham!!

Time will tell
Hizo ni ndoto za mwendawaimu!!! Farao alishindwa wakati Israel haikuwa na Jeshi Hitler alishindwa kuwamaliza wakati Israel hawana Jeshi!!!

Leo hii Israel ina Jeshi tena linaitwa The most Moral army in the World Lina kila kitu leo huyo Hitler mdogo atafanya nini hiyo ilishatoka!! Hivi unajua Israel ina silaha za Nuclear? Au hujui?
Wenzako wana karata ya turufu!!! Endeleeni tu kujidanganya kwenye vijiwe!!
 
Huyu mwamba for sure kazi yake iliiokoa Israel dhidi ya maangamizi ya kishetani enzi hizo ikijitafuta.

Else, Israel ingeshafutwa katika uso wa dunia sawasawa na slogan ya kubwa la magaidi kila uchao nowadays! Israel imepitia mitihani sio poa.
Taarifa ya maana aliyotoa ni ya Syria kuingiza silaha toka Soviet,halafu kudakwa mbona alidakwa nyumbani kwake na mashine yake ya kutuma taarifa
 
Taarifa ya maana aliyotoa ni ya Syria kuingiza silaha toka Soviet,halafu kudakwa mbona alidakwa nyumbani kwake na mashine yake ya kutuma taarifa
Taarifa nzito sana hiyo. Aliliokoa taifa lake kufutwa katika uso wa dunia kama maadui walivyokuwa wamedhamiria. Zilikuwa silaha za maangamizi hasa.

And by then taifa lilikuwa bado changa baada ya kurudi katika ardhi yake toka uhamishoni walikokaa for centuries.
 
Cohen alikuwa arab jew.. ndio maana alichanganyika na Syrian wakafahamu ni mwarabu mwenzao kingine alikuwa anaongea kiarabu fluent..
 
Kazi nzuri.
Sie maktaba zetu za wavaa mawani meusi hawanaga hizi historia.. Ifike wakati wa disclose basi, ili vizazi vya Gen Z viweze kujifunza na kuona kazi kubwa iliyowahi kufanywa na wao, sio zile misheni za kutupana forest west kili ama katavi.
Waki disclose za kwetu aibu itakayatokea ni kunwa sana.
Wanavyopenda sifa ,kama kuna kitu cha ku disclose wangeshafanya miaka mingi sana
 
Anza Houth, Hezbollah walifanya nini na wapi?
Mfano houthi kupenyeza drone hadi ndani kabisa ya Israel mliita ugaidi.

Munich incident mliita ugaidi ilihali hakuna mtu mwingine amewahi teka kwenye Olympic.

Hata October 10 mliita ugaidi licha ya counter attack ya Hamas kwenye jeshi lenye intelijensia kubwa kama Israel.

Kwahiyo ikiwa upande wenu mnaita ujasusi, ikiwa waarabu inageuka ugaidi!! Weird
 
Haya ni mafanikio makubwa sana kwa uongozi wa miaka minne ya Samia
 
Huna lolote Mzee una tetea wavaa kobazi wenzako ambao ni magaidi tu
 
Sisi tunahangaika na chadema.
Msajili hadi anapangisha vijana wachadema.
Hii nchi ina watu wenye akili matope
Inawezekana Kuna pandikizi ndio maana serikali inaangaika nalo kuling'ofoa

Au liachwe?
 
Nafikiri hujui maana ya Ugaidi jifunze kwanza ujue maana ya Neno Ugaidi ndipo uje tuzungumze!!
 
Sisi tunahangaika na chadema.
Msajili hadi anapangisha vijana wachadema.
Hii nchi ina watu wenye akili matope
Majasusi wa Tanzania hawajui kama Singida Black stars inamilikiwa na mtumishi wa umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…