SOLD: Vifaa vya salon ya kike vinauzwa

Status
Not open for further replies.

TUMBOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2014
Posts
3,827
Reaction score
2,021
VIMEUZWA

Habari za jioni wakuu nauza vifaa vya saloon ya kike
1.draya moja
2.kioo kimoja kina frem ya alminium
3.troler yakuwekea rolers
4.kabati la alminium ukubwa ft 5
5.feni ya juu
6.viti vinne
7.kabati yakupangia taulo na kuwekea madawa
 
Kwa mawasiliano piga 0786408577
 
Kwa vyote ivyo ni laki6 usaafiri juu yak
 
Nipo kimara mwisho
 
Poa poa nilijua upo kanda ya ziwa huku nije. Tatizo kuvisafilisha hadi huku usukumani itakua tatizo
Uko vinafika sana nshasafirisha mzigo wa vitu vya ndani hadi mbeya kwa bei ya elfu 60000 tu
 
Uko vinafika sana nshasafirisha mzigo wa vitu vya ndani hadi mbeya kwa bei ya elfu 60000 tu

Kwa hiyo mwanza vinafika kwa gharama zipi? Kama vinaweza kufika mwanza bila tatizo kweli?
 
bila bei huuzi utatangaza tu weka bei watu wasipoteze muda kukupigia
 
Reactions: sab
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…