Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23]Biashara ipo tatizo mda wakufatilia ndio hakuna
Nawe uje mbeya sasaUko vinafika sana nshasafirisha mzigo wa vitu vya ndani hadi mbeya kwa bei ya elfu 60000 tu
Kodi ulikuwa unalipaje, tuone kama tunaweza kununua biashara kabisa !Biashara ipo tatizo mda wakufatilia ndio hakuna
Umepatia changamoto zipi mpaka kufikia uamuzi huu mana hii biashara mpak leo bado ipo kichwani naifikiriaKwa vyote ivyo ni laki6 usaafiri juu yak