SOLD: Vifaa vya salon ya kike vinauzwa

SOLD: Vifaa vya salon ya kike vinauzwa

Status
Not open for further replies.
Umepatia changamoto zipi mpaka kufikia uamuzi huu mana hii biashara mpak leo bado ipo kichwani naifikiria
Nilikua nakosa muda wakuifatilia mm nlikua bizy sana wafanyakazi wengi wezi labda uwe unashinda saloon ndio faida huonekana
 
Bei yako ya mwisho ngapi nijiongeze na mwanza nitapata usafiri wa kuvifikisha?
 
Tumboo kuna mtu alikua anaitaji kutokea mwanza lakini ukamwambia ushauza.
Uyo mtu ni muongo sana sijamwambia nmeuza tuliongea nae vizuri hadi nikatafuta usafiri nikawa nimepata akagoma kutuma hela nikawa nikipiga simu atume hela hapokei hakuwa siruz na vitu nlimwambia gharama yakufikisha mwanza ni 60000 hajanitafuta sijui anahisi mimi ni tapeli
 
Bei yako ya mwisho ngapi nijiongeze na mwanza nitapata usafiri wa kuvifikisha?
Usafiri mwanza 60000 nlivyoongea na msafirishaji... yangu ukinipaia laki tano na elfu 50000 550000 sio mbaya
 
Usafiri mwanza 60000 nlivyoongea na msafirishaji... yangu ukinipaia laki tano na elfu 50000 550000 sio mbaya

Kula 5 mkuu na huyo mtu wa kusafirisha bado yupo?? Nakuja kukagua mwenyewe.
 
Wakusafirisha yupo haina shida
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom