Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
Natuma sasa hivinitumie cover nzuri za samsung za note 5 kwa no 0773155991
poaNatuma sasa hivi
OG kabsa ni sh 25000 bei ya jumla.Memory 32 GB nzuri bei gan. Bei ya jumla
Inategemea na ukubwa wa duka, unaweza kuwa na goli na kuanza na m5 kwa duka kubwa piga mara mbili ya goli.Mkuu nimefanya utafiti soko la phone accessories bado lipo vizuri pamoja Na mdororo wa kiuchumi. Nataka kufungua duka la rejareja la vifaa vya simu mkoani Kama ulivyotaja hapo huu. Je naweza kuanza Na mtaji wa kiasi gani kwa uzoefu wako
Asante mkuuInategemea na ukubwa wa duka, unaweza kuwa na goli na kuanza na m5 kwa duka kubwa piga mara mbili ya goli
Ipo kiongoziCharger ya samsung s8 original...
Mkuu upo nchi gani canda au jiji la toronto rekebishaa kasha lakoHapa utapata
Cover 360
Back cover
Charger OG
Memory cards
Flash n.k
Cover kama hizi utapata mpaka kwa 4000 kwa reja reja na kwa jumpa bei inapungua zaid ya hapo.
Samsung
Tecno
Infinix
Itel
IPhone.
Chargers tofaut tofaut
UNATAFUTA NINI? ULIZA HAPA 0625547181 NA PICHA NITATUMA PIA UONE VIZURI.
KARIBU DUKANI
Mkuu dukani lipo wap natak kujaHapa utapata
Cover 360
Back cover
Charger OG
Memory cards
Flash n.k
Cover kama hizi utapata mpaka kwa 4000 kwa reja reja na kwa jumpa bei inapungua zaid ya hapo.
Samsung
Tecno
Infinix
Itel
IPhone.
Chargers tofaut tofaut
UNATAFUTA NINI? ULIZA HAPA 0625547181 NA PICHA NITATUMA PIA UONE VIZURI.
KARIBU DUKANI
Kuu kwa vifaa vya sm tu hata milion tatu anaweza akaanza tuInategemea na ukubwa wa duka, unaweza kuwa na goli na kuanza na m5 kwa duka kubwa piga mara mbili ya goli
Bei gani ? Charger samsung s8ipo kiongozi
Mkuu hii ndo biashara iliyo baki inaweza kukupa faidaMkuu nimefanya utafiti soko la phone accessories bado lipo vizuri pamoja Na mdororo wa kiuchumi. Nataka kufungua duka la rejareja la vifaa vya simu mkoani Kama ulivyotaja hapo huu. Je naweza kuanza Na mtaji wa kiasi gani kwa uzoefu wako