Vifaa vyote vya simu jumla na rejareja

Vifaa vyote vya simu jumla na rejareja

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
2,395
Reaction score
2,391
Hapa utapata
Cover 360
Back cover
Charger OG
Memory cards
Flash n.k
0182bf9cb68441e42b9c5284fcb96b31.jpg

Cover kama hizi utapata mpaka kwa 4000 kwa reja reja na kwa jumpa bei inapungua zaid ya hapo.
Samsung
Tecno
Infinix
Itel
IPhone.
901c7951bc9e1845b621c99d342e9997.jpg

Chargers tofaut tofaut

UNATAFUTA NINI? ULIZA HAPA NA PICHA NITATUMA PIA UONE VIZURI.
KARIBU DUKANI
 
Memory 32 GB nzuri bei gan. Bei ya jumla
 
Memory 32 GB nzuri bei gan. Bei ya jumla
OG kabsa ni sh 25000 bei ya jumla.
<itapendeza kama utanitafuta utakapotaka mana kariakoo chenga nyingi> lakini mm nipo dukani kwa hiyo utapata usalama zaidi
 
Mkuu nimefanya utafiti soko la phone accessories bado lipo vizuri pamoja Na mdororo wa kiuchumi. Nataka kufungua duka la rejareja la vifaa vya simu mkoani Kama ulivyotaja hapo huu. Je naweza kuanza Na mtaji wa kiasi gani kwa uzoefu wako
 
Inategemea na ukubwa wa duka, unaweza kuwa na goli na kuanza na m5 kwa duka kubwa piga mara mbili ya goli.
 
Hapa utapata
Cover 360
Back cover
Charger OG
Memory cards
Flash n.k
0182bf9cb68441e42b9c5284fcb96b31.jpg

Cover kama hizi utapata mpaka kwa 4000 kwa reja reja na kwa jumpa bei inapungua zaid ya hapo.
Samsung
Tecno
Infinix
Itel
IPhone.
901c7951bc9e1845b621c99d342e9997.jpg

Chargers tofaut tofaut

UNATAFUTA NINI? ULIZA HAPA 0625547181 NA PICHA NITATUMA PIA UONE VIZURI.
KARIBU DUKANI
Mkuu upo nchi gani canda au jiji la toronto rekebishaa kasha lako
 
Hapa utapata
Cover 360
Back cover
Charger OG
Memory cards
Flash n.k
0182bf9cb68441e42b9c5284fcb96b31.jpg

Cover kama hizi utapata mpaka kwa 4000 kwa reja reja na kwa jumpa bei inapungua zaid ya hapo.
Samsung
Tecno
Infinix
Itel
IPhone.
901c7951bc9e1845b621c99d342e9997.jpg

Chargers tofaut tofaut

UNATAFUTA NINI? ULIZA HAPA 0625547181 NA PICHA NITATUMA PIA UONE VIZURI.
KARIBU DUKANI
Mkuu dukani lipo wap natak kuja
 
Mkuu msaada bei na picha ya betri ya samsung A5 (2015) na Kioo cha hiyo hiyo samsung A5 (2015)
 
Mkuu nimefanya utafiti soko la phone accessories bado lipo vizuri pamoja Na mdororo wa kiuchumi. Nataka kufungua duka la rejareja la vifaa vya simu mkoani Kama ulivyotaja hapo huu. Je naweza kuanza Na mtaji wa kiasi gani kwa uzoefu wako
Mkuu hii ndo biashara iliyo baki inaweza kukupa faida
 
Back
Top Bottom