Vifahamu vijiji vya Tanga-Horohoro

Hapana Jimena haya majina yako kwenye vibao rasmi on the way to Horohoro, kila ukiingia kijiji kipya unakutana na jina lake
Hayo uliyoyataja yapo pia mitaa/barabara za tanga mjini ambazo ziko 21
hayo ndio yapo kwenye vibao ila sio vijiji vilivyo barabara kuu ya tanga to mombasa ,kwa mfano chumvin kibao kipo barabaran ambacho kinaelekeza njia ya kwenda chumvini,
mimi napenda amboni ila hujaitaja
 
aisee beach kwabibi nakumbuka enzi zangu secondary nilikuwa sikosagi huko wikiendi natoka magaoni B mpaka beach kwa bibi kwa miguu
Nikweli ndugu yangu, Wengine tulikuwa tunatoroka shule kisha tunaenda Beach kwa Bibi aiseee.... Hatari Sana
 
baadhi ya Vijiji vya Tanga vilivyo nje ya mji ni
Kiwavu ,Nema,kange,kirare,mahere,Tongoni,Geza na marungu
 
Nikweli ndugu yangu, Wengine tulikuwa tunatoroka shule kisha tunaenda Beach kwa Bibi aiseee.... Hatari Sana
sana mimi nilisoma maawal islamic wew ulisoma wap? mimi nakumbuka mama alisafir wiki nzima na mzee ni mwalimu arafa so anaondoka asubuhi na kuniacha iyo wiki yote sikwenda shule tulikuwa tunakwenda bichi tu mida ya kutoka shule ndio tunarudi majumban mwetu, aisee natamani enzi irudi mabest zangu nimewamis kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…