Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hayo ndio yapo kwenye vibao ila sio vijiji vilivyo barabara kuu ya tanga to mombasa ,kwa mfano chumvin kibao kipo barabaran ambacho kinaelekeza njia ya kwenda chumvini,Hapana Jimena haya majina yako kwenye vibao rasmi on the way to Horohoro, kila ukiingia kijiji kipya unakutana na jina lake
Hayo uliyoyataja yapo pia mitaa/barabara za tanga mjini ambazo ziko 21
Usinene ukamara [emoji23]Togora mwenehu, uwe undakara wakaya uwe
Donge sehemu gani ndugu, hata mimi naishi DongeSie w Donge
Mitaa yangu ya kujidai hii, Mwambani mpaka Beach kwa BibiMwambani
huyo ni mroma kwahyo anakaa donge kanisa la roma yeye ni mzee wa kanisa Troojah usinimaind ni utani tuDonge sehemu gani ndugu, hata mimi naishi Donge
SaWA SaWA ndugu, ila Mbona unajihami aiseee [emoji23]huyo ni mroma kwahyo anakaa donge kanisa la roma yeye ni mzee wa kanisa Troojah usinimaind ni utani tu
aisee beach kwabibi nakumbuka enzi zangu secondary nilikuwa sikosagi huko wikiendi natoka magaoni B mpaka beach kwa bibi kwa miguuMitaa yangu ya kujidai hii, Mwambani mpaka Beach kwa Bibi
aisee beach kwabibi nakumbuka enzi zangu secondary nilikuwa sikosagi huko wikiendi natoka magaoni B mpaka beach kwa bibi kwa miguuMitaa yangu ya kujidai hii, Mwambani mpaka Beach kwa Bibi
amna tatizo naogopa kupigwa mana mwili wangu wenyewe tayar una homa kwahyo nikipigwa nitasome hitima siku inayo fuataSaWA SaWA ndugu, ila Mbona unajihami aiseee [emoji23]
Nikweli ndugu yangu, Wengine tulikuwa tunatoroka shule kisha tunaenda Beach kwa Bibi aiseee.... Hatari Sanaaisee beach kwabibi nakumbuka enzi zangu secondary nilikuwa sikosagi huko wikiendi natoka magaoni B mpaka beach kwa bibi kwa miguu
Duuuh, haya ndugu [emoji23][emoji23][emoji23]amna tatizo naogopa kupigwa mana mwili wangu wenyewe tayar una homa kwahyo nikipigwa nitasome hitima siku inayo fuata
sana mimi nilisoma maawal islamic wew ulisoma wap? mimi nakumbuka mama alisafir wiki nzima na mzee ni mwalimu arafa so anaondoka asubuhi na kuniacha iyo wiki yote sikwenda shule tulikuwa tunakwenda bichi tu mida ya kutoka shule ndio tunarudi majumban mwetu, aisee natamani enzi irudi mabest zangu nimewamis kweli.Nikweli ndugu yangu, Wengine tulikuwa tunatoroka shule kisha tunaenda Beach kwa Bibi aiseee.... Hatari Sana