Ndugu ebu weka picha ya hao kuku niwaone wanafananaje. Hiyo bei imenitisha sana.Sijakasirika..nipale watu hawajui kuku then wanaongea tu..ndio maana nimesema mwenye Kuchi haweke picha yake na bei zake.
kweli ....aiseee hawa wafugaji wa kuchi ipo sku watatupa bei ya kiuza ng'ombe !Kuku 70000 sijawahi skia hiyo bei,au labda kama unauza vifaranga vya mbuni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuku 70000 sijawahi skia hiyo bei,au labda kama unauza vifaranga vya mbuni
tena wanakuwa ng'ombe kabsaaaWakikua wanabadilika kuwa mbuzi
Mtu bei akiamka asubuhi anajitungia tu bila hata kuangalia uhalisia wa bei na bidhaa yenyewekweli ....aiseee hawa wafugaji wa kuchi ipo sku watatupa bei ya kiuza ng'ombe !
[emoji28] [emoji28]Wakikua wanabadilika kuwa mbuzi
Siyo kucheza tu hata kushinda kabisaItakua wanauwezo wa kucheza BIKO labda!
Swadakta hawa ndo kuku sasa kuna mpemba juzi aliwanunua sokoni wawili kwa 75@=150 sema navyo sikia za chini chini wanaweza kubeba kete asee ndo mana wana gharama sana
Wana muda gani???Nipo Arusha...70,000@
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuchi kuchi hotaee
Hawa kuku ni wavivu kupanda, na wakipandwa Mara nyingi hawarutubishi yai huwa mbegu zinamwagikia nje.Swadakta hawa ndo kuku sasa kuna mpemba juzi aliwanunua sokoni wawili kwa 75@=150 sema navyo sikia za chini chini wanaweza kubeba kete asee ndo mana wana gharama sana
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wakikua wanabadilika kuwa mbuzi
Na ukiachilia hii kitu ya Kumeza Dawa mahotel mengi sana ya kitalii wanatumika kupigana na mapedeshee kucheza kamari ni lipi litakalompiga mwenzie.Swadakta hawa ndo kuku sasa kuna mpemba juzi aliwanunua sokoni wawili kwa 75@=150 sema navyo sikia za chini chini wanaweza kubeba kete asee ndo mana wana gharama sana
Pamoja na uhaba wote huo wa manyoya?Nipo Arusha...70,000@