Vifaranga Vya Kuchi...

Vifaranga Vya Kuchi...

Kwanini umekasirika labda?
Anyway,jee hao kuku wana kipi cha ziada?
Sijakasirika..nipale watu hawajui kuku then wanaongea tu..ndio maana nimesema mwenye Kuchi haweke picha yake na bei zake.
 
Sijakasirika..nipale watu hawajui kuku then wanaongea tu..ndio maana nimesema mwenye Kuchi haweke picha yake na bei zake.
Ndugu ebu weka picha ya hao kuku niwaone wanafananaje. Hiyo bei imenitisha sana.
 
kweli ....aiseee hawa wafugaji wa kuchi ipo sku watatupa bei ya kiuza ng'ombe !
Mtu bei akiamka asubuhi anajitungia tu bila hata kuangalia uhalisia wa bei na bidhaa yenyewe
 
Nilikuwa nimeamka vibaya ila huu uzi comments za wadau umenifanya nicheke sana mara hao kuchi itakuwa mayai ya mbuni,wanabadilika kuwa mbuzi ,wanauwezo wa kucheza biko ,wanaongea n.k 🙂 🙂
 
DSC_2301.JPG
DSC_2314.JPG
 
Swadakta hawa ndo kuku sasa kuna mpemba juzi aliwanunua sokoni wawili kwa 75@=150 sema navyo sikia za chini chini wanaweza kubeba kete asee ndo mana wana gharama sana
Hawa kuku ni wavivu kupanda, na wakipandwa Mara nyingi hawarutubishi yai huwa mbegu zinamwagikia nje.

Vilevile mayai yake ni machache mno yanayoweza kuanguliwa
 
Swadakta hawa ndo kuku sasa kuna mpemba juzi aliwanunua sokoni wawili kwa 75@=150 sema navyo sikia za chini chini wanaweza kubeba kete asee ndo mana wana gharama sana
Na ukiachilia hii kitu ya Kumeza Dawa mahotel mengi sana ya kitalii wanatumika kupigana na mapedeshee kucheza kamari ni lipi litakalompiga mwenzie.

Kwa kifupi yanatumika kubetia
 
Back
Top Bottom