Vifaranga Vya Kuchi...

Kweli jambo usilolijua n kama usiku wa Giza.endeleen wengine kuchangia kwa mihemko wakati watu wanapiga pesa.kuna mzee msukuma mmoja hapa alipiga 1.5m kwa vifaranga vya mwez mmoja tu 50
 
hivi uko serious ama? na akikuwa mkubwa unamuuza bei gani?

kuku ni kuku tu. hiyo 70,000 bado ni bei ya mbuzi. labda kama ufuge kwa ajili ya dawa.
Hahaha inawezekana ndo kazi yake
 
Vifaranga cha mwezi mmoja elfu 5000 ikiwa miezi mitatu ni elfu kumi ila miezi mitatu niwakubwa kabisa utadhani wana miezi6 minauza wa miezi mitatu elfu 10. Wakubwa wa kula ni elfu20 wana mwaka
 
Duh!
Bei ya kifaranga cha kuku sawa na ndama!!?
 
Au unapewa nahili gari[emoji205] [emoji205] [emoji205]
 
Atakayenunua ni kutokana na mazingira aliyomo yeye. Nilipo mm kuku ni kuku, hatununui kulingana na aina wala hatuna huo mda. Unaleta bandiko kama hili lzm nizungumze kwa mshangao maana inaonekana kama utani kwangu. Lakin unachotakiwa kwa kuwa unafanya biashara ni muhimu kuwaelewesha vizr kwa upole wale unaotaka kuwauzia hata wakiuliza maswali yanayokera
 
Pale mbagara wanapatikana kwa 25,000,///18,000 kuna jamaaa anaitwa makuku anapatikana pale Zakheem.Sasa huyo bei yake???asubirie watalii waje wanunue
 
Dunh mkuu unataka kununua ndege au? Hio elfu 70 ni kwamba vikijq vimeshiba havili tena au vikikata gogo bandani vinafanya usafi vyenyewe?
[emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…