Vifaranga vya Kuroiler F1 Vinahitajika Singida

nani akuzie vifaranga vya wiki 4 aina ya kuroiler wakati hapo bado mwezi kuku aliwe...kumbuka kuku aina ya kuroiler hukua kwa muda wa miezi miwili wakiwa na uzito wa kg2 hivyo vifaranga huuzwa vya siku moja
 
Utapigwa, F1 unawajua? nenda kwenye kampuni yenye Parents stock Uode vifaranga
Shida uwezekano wa kufika dar na kuwasafirisha huo umbali mkuu, hata kama sintopata F1 ila angalau niwe kuroiler
 
nani akuzie vifaranga vya wiki 4 aina ya kuroiler wakati hapo bado mwezi kuku aliwe...kumbuka kuku aina ya kuroiler hukua kwa muda wa miezi miwili wakiwa na uzito wa kg2 hivyo vifaranga huuzwa vya siku moja
Wapo watu mkuu
 
Nimefanikiwa kupata Ikungi
 
Back
Top Bottom