Snapdragon 8
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,046
- 3,781
Habari wanajamii forum nahitajo Vifaranga vya kuku aina ya kuroiler kuanzia wiki nne nipo singida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapigwa, F1 unawajua? nenda kwenye kampuni yenye Parents stock Uode vifarangaHabari wanajamii forum nahitajo Vifaranga vya kuku aina ya kuroiler kuanzia wiki nne nipo singida
Shida uwezekano wa kufika dar na kuwasafirisha huo umbali mkuu, hata kama sintopata F1 ila angalau niwe kuroilerUtapigwa, F1 unawajua? nenda kwenye kampuni yenye Parents stock Uode vifaranga
Wapo watu mkuunani akuzie vifaranga vya wiki 4 aina ya kuroiler wakati hapo bado mwezi kuku aliwe...kumbuka kuku aina ya kuroiler hukua kwa muda wa miezi miwili wakiwa na uzito wa kg2 hivyo vifaranga huuzwa vya siku moja
Nimefanikiwa kupata Ikunginani akuzie vifaranga vya wiki 4 aina ya kuroiler wakati hapo bado mwezi kuku aliwe...kumbuka kuku aina ya kuroiler hukua kwa muda wa miezi miwili wakiwa na uzito wa kg2 hivyo vifaranga huuzwa vya siku moja
wakazanie chakula bora mwezi ujao unawauza au mwezi wa 12.kifaranga cha wiki4 kama anamatuzo mazuri ni mkubwa wa umbo sana anaweza kufika gm 450Nimefanikiwa kupata Ikungi
Ulipata hao wa wiki nne? Walikuuzia shngp?Nimefanikiwa kupata Ikungi
Alikuwa anauza 5000 ninepata kwa 4500 mkuuUlipata hao wa wiki nne? Walikuuzia shngp?