Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Ndo maana siwaelewi hawa maana kwenye mashindano sijasikia hivo vitu,,,,,..hao wanakimbizana barabarani huko Makonda anahusikajeWaliokufa hawakufia uwanja wa mashindano na wala hawakuwa kwenye mashindano ni bodaboda washabiki waliofia barabarani kuonyesha mbwembwe barabarani wakienda kuona mashindano
Sio wahusika wa mashindano
Na Traffic wakikataza wakakaidi wakagongana bodaboda kwa bodaboda
Lema aache uongo
.kwenye mashindano kulikuwa na proffesinal watupu hakuna aliyekufa
Nani kafa kwenye hayo mashindanoWalahi niliposikia mashindano ya Pikipiki nilidhani zile za 1000cc na waendeshaji wamejiandaa haswa
Kumbe jamaa kaandaa kutoa kafara
Masikini hawa kutafuta ugali wao tu wanatukanwa
Sasa wakaamua kusikiliza upumbavu huo wa mashetani
Hawachelewi kusema kafara za uchaguuuu!
Kumbe kwenye rally mapombe na mirungi ni Ruksa...hata hivyo kofia ngumu hazizuii ajali iwapo washindani wako unconscious,vipimo vya kilevi vitumike siku zijazo kuepuka fedheaMbona kama walipata ajali barabarani na sio kule lakilaki?? Yani vijana walipotoka kule wakaanza kuigiza kama wale washindani wenye mapikipiki makubwa na walikuwa washatupia mirungi na pombe bas wakapata ajali. Wahimizwe kuvaa kofia ngumu
Kwani heading imebadilishwaNani kafa kwenye hayo mashindano
Sijasikia aliefariki kwenye mashindano.....Kwani heading imebadilishwa
Samahani lakini swali juu ya swali
Muulize alieleta mada hii maana kaandika wamekufa 6 au hujasoma heading?Sijasikia aliefariki kwenye mashindano.....
Sasa uli reply vipi kama haupo......najua wamefariki ambao hawakuwepo kwenye hayo mashindanoMuulize alieleta mada hii maana kaandika wamekufa 6 au hujasoma heading?
Bishana na mleta uzi
Mimi simo
Kila siku nasema humu ndani kuna watu kichwani wana MAVI...Waliokufa hawakufia uwanja wa mashindano na wala hawakuwa kwenye mashindano ni bodaboda washabiki waliofia barabarani kuonyesha mbwembwe barabarani wakienda kuona mashindano
Sio wahusika wa mashindano
Na Traffic wakikataza wakakaidi wakagongana bodaboda kwa bodaboda
Lema aache uongo
.kwenye mashindano kulikuwa na proffesinal watupu hakuna aliyekufa
Vuawa wa Bashite mbona wameificha hii habari?Huwa nasema kila siku humu, CCM mtaji wao mkuu namba moja ni Ujinga wa hili taifa na pili na umasikini.
Bodaboda ni watu wanatumika kisiasa sana na kwa sababu ya kiwango chao cha juu cha ujinga walicho nacho hawajui kama wanatumika kiasiasa.
Kule Arusha jumapili kulikuwa na mashindano ya Pikipiki, na inaaminika Bodaboda 6 wamefariki kwwnye hayo mashindano hao ni kuacha walio Mount Meru Hospital kwa sasa wakiwa wamevunjika vunjika miguu.
Ila tukirudi kwenye Uhalisia je BODA BODA ZILE TOYO NI PIKIPIKI ZA MSHINDANO? hapa tu Africa kuna nchi hizi Toyo haziruhusiwi make hazina hata quality ya kubeba binadamu na kuwepo barabarani.
Kwa sababu sisi ni Taifa la wajinga tumezigezua kuwa ni mtaji wa kisiasa na ndio maana zinachinja watu daily.
Kama kuchinja watu barabarani hakutoshi sasa wakina Makonda wameamua kuzitumia kwenye mashindano ya pikipiki kutafuta mailage.
Ujinga na Umasikini vitaendelea kuwa mitaji ya wana CCM kwa muda mrefu sana
Kwenye utawala wa Sheria waandaaji wa hayo mashindano walipaswa kuwa ndani kwa sasa ila hilo haliwezekani Tanzania hii ya wajinga.
Chanzo: Nipashe
Je unajua aluyeshinda katumia sinoray na watu walikuwa na honda,BMW na wamekaaPamoja na kwamba kijiografia Arusha ni moja ya majiji yenye uchumi mkubwa hapa Tanzania lakini watu wake ni WASHAMBA sana.
Kuna hii kitu inaitwa WADUDU halafu unakuta wananchi mpaka Mkuu wa Mkoa anatambua UCHAFU kama huu Stupid.
Siwasikitii hao waliokufa kwa vile ni WAPUMBAVU!! Unaanzaje kuingia mashindano ya pikipiki kwa kutumia low quality motorbike kama Toyo, Boxer au TVS??
ARUSHA acheni ushamba
Yote hayo matakatakq matupu. Hata hizo Honda na BMW ni ma photocopy ya GuangzhouJe unajua aluyeshinda katumia sinoray na watu walikuwa na honda,BMW na wamekaa