Vifo 6 vya Bodaboda vinavyodaiwa kutokea kwenye Mashindano Arusha ni uzembe mkubwa sana, Waandaaji wanapaswa kuwajibishwa

Vifo 6 vya Bodaboda vinavyodaiwa kutokea kwenye Mashindano Arusha ni uzembe mkubwa sana, Waandaaji wanapaswa kuwajibishwa

Waliokufa hawakufia uwanja wa mashindano na wala hawakuwa kwenye mashindano ni bodaboda washabiki waliofia barabarani kuonyesha mbwembwe barabarani wakienda kuona mashindano

Sio wahusika wa mashindano
Na Traffic wakikataza wakakaidi wakagongana bodaboda kwa bodaboda
Lema aache uongo
.kwenye mashindano kulikuwa na proffesinal watupu hakuna aliyekufa
Ndo maana siwaelewi hawa maana kwenye mashindano sijasikia hivo vitu,,,,,..hao wanakimbizana barabarani huko Makonda anahusikaje
 
Walahi niliposikia mashindano ya Pikipiki nilidhani zile za 1000cc na waendeshaji wamejiandaa haswa

Kumbe jamaa kaandaa kutoa kafara
Masikini hawa kutafuta ugali wao tu wanatukanwa
Sasa wakaamua kusikiliza upumbavu huo wa mashetani
Nani kafa kwenye hayo mashindano
 
Mbona kama walipata ajali barabarani na sio kule lakilaki?? Yani vijana walipotoka kule wakaanza kuigiza kama wale washindani wenye mapikipiki makubwa na walikuwa washatupia mirungi na pombe bas wakapata ajali. Wahimizwe kuvaa kofia ngumu
Kumbe kwenye rally mapombe na mirungi ni Ruksa...hata hivyo kofia ngumu hazizuii ajali iwapo washindani wako unconscious,vipimo vya kilevi vitumike siku zijazo kuepuka fedhea
 
Nasikia Mwamposa alikuwa mmoja wa wazinduaji wa mbio hizo, sijui hata nataka kusema nini, ngoja nifikirie kwanza
 
Waliokufa hawakufia uwanja wa mashindano na wala hawakuwa kwenye mashindano ni bodaboda washabiki waliofia barabarani kuonyesha mbwembwe barabarani wakienda kuona mashindano

Sio wahusika wa mashindano
Na Traffic wakikataza wakakaidi wakagongana bodaboda kwa bodaboda
Lema aache uongo
.kwenye mashindano kulikuwa na proffesinal watupu hakuna aliyekufa
Kila siku nasema humu ndani kuna watu kichwani wana MAVI...

Ukisoma bandiko lake jamaa kapotosha sana
 
Huwa nasema kila siku humu, CCM mtaji wao mkuu namba moja ni Ujinga wa hili taifa na pili na umasikini.

Bodaboda ni watu wanatumika kisiasa sana na kwa sababu ya kiwango chao cha juu cha ujinga walicho nacho hawajui kama wanatumika kiasiasa.

Kule Arusha jumapili kulikuwa na mashindano ya Pikipiki, na inaaminika Bodaboda 6 wamefariki kwwnye hayo mashindano hao ni kuacha walio Mount Meru Hospital kwa sasa wakiwa wamevunjika vunjika miguu.

Ila tukirudi kwenye Uhalisia je BODA BODA ZILE TOYO NI PIKIPIKI ZA MSHINDANO? hapa tu Africa kuna nchi hizi Toyo haziruhusiwi make hazina hata quality ya kubeba binadamu na kuwepo barabarani.

Kwa sababu sisi ni Taifa la wajinga tumezigezua kuwa ni mtaji wa kisiasa na ndio maana zinachinja watu daily.

Kama kuchinja watu barabarani hakutoshi sasa wakina Makonda wameamua kuzitumia kwenye mashindano ya pikipiki kutafuta mailage.

Ujinga na Umasikini vitaendelea kuwa mitaji ya wana CCM kwa muda mrefu sana

Kwenye utawala wa Sheria waandaaji wa hayo mashindano walipaswa kuwa ndani kwa sasa ila hilo haliwezekani Tanzania hii ya wajinga.

Chanzo: Nipashe
Vuawa wa Bashite mbona wameificha hii habari?
 
Pamoja na kwamba kijiografia Arusha ni moja ya majiji yenye uchumi mkubwa hapa Tanzania lakini watu wake ni WASHAMBA sana.

Kuna hii kitu inaitwa WADUDU halafu unakuta wananchi mpaka Mkuu wa Mkoa anatambua UCHAFU kama huu Stupid.

Siwasikitii hao waliokufa kwa vile ni WAPUMBAVU!! Unaanzaje kuingia mashindano ya pikipiki kwa kutumia low quality motorbike kama Toyo, Boxer au TVS??

ARUSHA acheni ushamba
Je unajua aluyeshinda katumia sinoray na watu walikuwa na honda,BMW na wamekaa
 
Je unajua aluyeshinda katumia sinoray na watu walikuwa na honda,BMW na wamekaa
Yote hayo matakatakq matupu. Hata hizo Honda na BMW ni ma photocopy ya Guangzhou
 
Back
Top Bottom