SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,032
Naandika kwa majonzi sana hawa ndugu zetu wa huku Arusha nao wamebahatika kuwekeawa lami mwaka huu japo ni nusu mradi kamili wa kuifikisha lami inapotakiwa kuishia bado aujakamilika.
Lami hii sasa imekuwa ikileta huzuni baada ya furaha kwani waendesha bodaboda wa huu mtaa wameigeuza rami hii kuwa barabara ya mashindano na matokeo yake ajari za mara kwa mara zinazopelekea kuchukua uhai wa watu ambao wengine ni Waenda kwa miguu au abiria wanaotumia barabara hiyo, nakuomba mueshimiwa mkuu wa mkoa wasiliana na watu wanahousika na kuweka matuta barabarani warudi kuiwekea barabara hii matuta ya kutosha ikiwezekana fanya ziara kabisa kuongea na bodaboda hawa wapate elimu kwani hali inatisha .