Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Umemaliza boss.Tukifahamu umuhimu wa familia hatutaruhusu hata hizo talaka kutolewa.
Familia legelege huzaa taifa legelege.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza boss.Tukifahamu umuhimu wa familia hatutaruhusu hata hizo talaka kutolewa.
Familia legelege huzaa taifa legelege.
Umesoma maelezo yangu kwenye mada! Au umekomenti pasipo kusoma!Sasa uwe na Adabu...Unapotaka Kuingilia imani za watu na namna Serikali imekua na mipaka yake juu ya imani hizo. After all nilitegemea uje na taarifa rasmi kutoka kwa Serikali hiyo hiyo unayoishinikiza kutekeleza mawazo yako.
Tambua mapenzi siyo UZALENDO ni hisia na upendo baina ya watu wawili!Tukifahamu umuhimu wa familia hatutaruhusu hata hizo talaka kutolewa.
Familia legelege huzaa taifa legelege.
Kama umesoma machapisho ya maswala ya ndoa hautakuwa na maswali....Umesoma maelezo yangu kwenye mada! Au umekomenti pasipo kusoma!
Ebu naomba usome tena! Utaelewa!
Serikali itafanya sehemu yake kama mdau katika mambo ya kisheria! Mambo ya imani waachiwe waamue wenyewe!
After all serikali ikitoa nafasi ya kufuta cheti cha ndoa!
Mwanandoa anaweza akabadili dini na asifungwe na agano la imani yake ya ndoa ya awali, lakini kama cheti kisipofutwa ni ngumu!
Familia ndiyo msingi mkuu wa taifa.Tambua mapenzi siyo UZALENDO ni hisia na upendo baina ya watu wawili!
Hii nitakuelekeza mara ya Mwisho kwani ni kama una ajenda nyingine nyuma.Kifo kiwatenganishe na hilo agano ndo huwavaa watu ili wauane tu maana huwa hakuna mbadala wa kutokea!
Ndiyo maana serikali inatakiwa iweke mwanya huo
Serikali haina dini! Ila watu wake ndiyo wana dini! Mimi nimeshauri serikali ifanye upande wake, hayo mambo ya imani iwaachie wahusika wenyewe !Kama umesoma machapisho ya maswala ya ndoa hautakuwa na maswali....
Mahakama pekee ndiyo yenye mamlaka ya kuvunja ndoa...Lakini kuna Bodi zenye dhamana ya usuluishi wa migogoro ya ndoa.
Usuluishi kwa maana ya kunusuru zisivunjike kwani maamuzi ya watu wawili huathiri mtu wa tatu zaidi ambaye ni mtoto/watoto.
Kanisa kama moja ya vyombo vya usuluishi hujikita katika namna ya kunusuru hasara hiyo. Tofauti na imani zingine Ukristo umejikita katika kulinda ndoa...Ila inapofika mwisho wao hutoa kibali cha ndoa kuvunjika ( Mahakamani )
Je unataka Serikali ingie ndani zaidi ya hapo?
Kingine umeleta heresay data za serikali kuonyesha vifo vitokanavyo na talaka iko wapi? Namaanisha chanzo cha uhakika.
Mkuu wewe ni kasisi au?.Ukiachana na Madawati ya kijinsia na polisi unafahamu uhusika wa kanisa katika kusuluhisha migogoro ya ndoa?
Jamaa hajui hata ukubwa wa tatizo lilivyo kubwa huko mtaaniMkuu wewe ni kasisi au?.
Maana si kwa hasira hizo utadhani jf hakuna wenye uelewa wa marriage issues!.
Naomba namba yako pm nikutumie hizo data mkuu!Tianzie hapa.
Hizo takwimu umezipata kutoka ktk chanzo kipi. Usikute ni chuki zako tu kwa wakristo ukaamua upike data. Au mkristo amekataa kukuoa kama mke wa pili ukaona uje upige kampen hapa ili upate nafasi ya kuwa mke mwenza
Serikali haijazuia kuachanaKatika kuondoa tatizo hili serikali iruhusu utaratibu rahisi wa kuachana na kuoana kama ilivyo kwa waislam!
Sheria ni kichwa chako tu.Lile karatasi ni kumbukumbu.Migogoro mingi ya ndoa ukipitia majarada ya kipolisi na dawati la jinsia utagundua kwamba kwa 70% ni kutokana na ndoa za kikristu na 15% ni ndoa za kiislam, 10% ni ndoa za kimila (unyumba na wengi wao waishio kinyumba ni wakristu) na 5% inachangiwa na ndugu wa wanandoa wenyewe
Hivyo ukichukua ile 70% na ile 10% ya ndoa za kimila za wakristu utaona karibia 80% ya ndoa zenye migogoro ni za wakristo!
Katika kuondoa tatizo hili serikali iruhusu utaratibu rahisi wa kuachana na kuoana kama ilivyo kwa waislam!
Haina maana itaingilia maandiko matakatifu la hasha cha mhimu nikuwaondolea cheti mkononi halafu
Maandiko wabaki wabaki nayo wahusika kwa imani zao lakini serikali ifanye upande wake!
After all cheti cha ndoa hutolewa na serikali ili wachungaji na wanandoa wasaini! Hivyo endapo wanandoa wamechokana. Waachane hata serikali ya mtaa!
Serikali iruhusu kufutwa ndoa hizo kisheria kwa utaratibu rahisi hata kupitia wakili au baraza la serikali ya mtaa.
Kuwepo na fomu katika ngazi ya mtaa inayoruhusu watu kuachana! Na ndoa hiyo kisheria isomeke imefutwa!
Nasema hivyo kwasababu migogoro mingi ya ndoa za kikristo wengi wameachana kimwili lakini hubaki kuwindana kufumaniana kutokana na kile kicheti cha ndoa ambacho huwa kina mlolongo mrefu sana hadi kufikia divorce!
Turuhusu watu waoane hata kwa wakili na waachane hata wakili!
Tutakuja kujua baadae kwamba tumechelewa!
Tabia za watu zimekuwa ngumu!
Sheria ya ndoa imepitwa na wakati!
Vichaa, vilema na mauaji mengi sana yanachangiwa na migogoro ya ndoa!
Serikali ifanye jambo kutokomeza
Soma madaSerikali haijazuia kuachana