Takriban watu 78 wamefariki dunia, baada ya Meli kupinduka katika Ziwa Kivu, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hapo jana.
Gavana wa Jimbo la Kivu Kusini Jean Jacques Purisi, amethibitisha taarifa hizo, na kuongeza kuwa watu 278 walikuwa wamepanda boti hiyo, kabla ya kupinduka.
"Itachukua angalau siku tatu kupata namba kamili, kwa sababu sio miili yote imepatikana," Purisi aliiambia Reuters.
Hata hivyo Gavana wa jimbo jirani la Kivu Kaskazini alisema takriban watu 58 wameokolewa.
Nimeitazama video hiyo boti ikizama aisee hadi huruma. Tena mashuhuda hata hawakuwa mbali ila inaonesha ilikuwa na mzigo mkubwa sana. Yaana inazama taratibu kimya kimya na nafsi za wanadamu wa kutosha ndani yake.
Huruma sana kwa waliokuwako mle ndani maana wanajiona kabisa wanavyozama.
Takriban watu 78 wamefariki dunia, baada ya Meli kupinduka katika Ziwa Kivu, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hapo jana.
Gavana wa Jimbo la Kivu Kusini Jean Jacques Purisi, amethibitisha taarifa hizo, na kuongeza kuwa watu 278 walikuwa wamepanda boti hiyo, kabla ya kupinduka.
"Itachukua angalau siku tatu kupata namba kamili, kwa sababu sio miili yote imepatikana," Purisi aliiambia Reuters.
Hata hivyo Gavana wa jimbo jirani la Kivu Kaskazini alisema takriban watu 58 wameokolewa.
Takriban watu 78 wamefariki dunia, baada ya Meli kupinduka katika Ziwa Kivu, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hapo jana.
Gavana wa Jimbo la Kivu Kusini Jean Jacques Purisi, amethibitisha taarifa hizo, na kuongeza kuwa watu 278 walikuwa wamepanda boti hiyo, kabla ya kupinduka.
"Itachukua angalau siku tatu kupata namba kamili, kwa sababu sio miili yote imepatikana," Purisi aliiambia Reuters.
Hata hivyo Gavana wa jimbo jirani la Kivu Kaskazini alisema takriban watu 58 wameokolewa.
Takriban watu 78 wamefariki dunia, baada ya Meli kupinduka katika Ziwa Kivu, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hapo jana.
Gavana wa Jimbo la Kivu Kusini Jean Jacques Purisi, amethibitisha taarifa hizo, na kuongeza kuwa watu 278 walikuwa wamepanda boti hiyo, kabla ya kupinduka.
"Itachukua angalau siku tatu kupata namba kamili, kwa sababu sio miili yote imepatikana," Purisi aliiambia Reuters.
Hata hivyo Gavana wa jimbo jirani la Kivu Kaskazini alisema takriban watu 58 wameokolewa.
Takriban watu 78 wamefariki dunia, baada ya Meli kupinduka katika Ziwa Kivu, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hapo jana.
Gavana wa Jimbo la Kivu Kusini Jean Jacques Purisi, amethibitisha taarifa hizo, na kuongeza kuwa watu 278 walikuwa wamepanda boti hiyo, kabla ya kupinduka.
"Itachukua angalau siku tatu kupata namba kamili, kwa sababu sio miili yote imepatikana," Purisi aliiambia Reuters.
Hata hivyo Gavana wa jimbo jirani la Kivu Kaskazini alisema takriban watu 58 wameokolewa.
Takriban watu 78 wamefariki dunia, baada ya Meli kupinduka katika Ziwa Kivu, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hapo jana.
Gavana wa Jimbo la Kivu Kusini Jean Jacques Purisi, amethibitisha taarifa hizo, na kuongeza kuwa watu 278 walikuwa wamepanda boti hiyo, kabla ya kupinduka.
"Itachukua angalau siku tatu kupata namba kamili, kwa sababu sio miili yote imepatikana," Purisi aliiambia Reuters.
Hata hivyo Gavana wa jimbo jirani la Kivu Kaskazini alisema takriban watu 58 wameokolewa.
Wapumzike salama waliofariki ila najiuliza Congo kuna laana gani mbona kila janga wao!? Treni yao wanapanda na wanyama na wanakaa juu ya mabehewa, meli zao ni hivyohivyo pia! Kuna namna ile jamii inapaswa kuelimishwa istaarabike.
1. Watu ni wengi sana na wanazaliana sana. Kwa kutumia kanuni za kawaida za uchumi supply and demand thamani ya kitu hushuka kinavyozidi wingi.
2. Kwenye vyombo vya usafiri kama hivi, hakuna vyombo vya kutosha, watu wanajazana bila kujali usalama wao. Wao wenyewe hawajali usalama wao na wanachangia kujiweka hatarini.
3. Elimu iko chini kwa watu wengi. Watu hawafikirii kuwa kujazana sana kwenye chombo kunaweza kusababisha kuzama, mambo kama ukarabati wa vyombo ni nadra na watu wanaenda kwa kudra kudra tu. Yote haya ni kwa sababu ya kukosa elimu.
4. Serikali hazifanyi kazi zake kuwajibika kuwapa wananchi huduma za kijamii kuendana na mahitaji yao. Viongozi wa serikali ni kama maharamia waliokaa kukusanya kodi na kujinufaisha wenyewe zaidi.
Mimi sishangai ajali hii kutokea, nashangaa kwa nini ajali kama hizi hazitokei mara nyingi zaidi. Naomba nieleweke kuwa sisemi natamani ajaki zitokee zaidi, nasema nashangaa kwa nini ajali kama hizi hazitokei zaidi.