Vifo vya marafiki zangu wa karibu vimeniathiri kisaikolojia naogopa sana Ukimwi mpaka napitiliza. Kila nikifanya mapenzi naona zamu yangu imekuja

Tafuta tiba uondokane na mawazo hayo,....tunza Afya yako maana Hakuna utajiri mkubwa Kama kuwa na Afya njemq
 
Hii hadithi ya kutunga. Hakuna consistency
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…