Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Unasafari ndefu sana kifikraKufanya starehe za kulewa na uzinzi ni ushamba ...Kaa vile unaweza kufanya mambo kimya kimya .
Kama unafanya basi ni ushamba acha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasafari ndefu sana kifikraKufanya starehe za kulewa na uzinzi ni ushamba ...Kaa vile unaweza kufanya mambo kimya kimya .
Kama unafanya basi ni ushamba acha.
Washamba ndio maana huko kutwa ni ugomvi na umalaya sio starehe hizo ,utakutana na watu wa hovyo.Unasafari ndefu sana kifikra
Neno lako sio sheria kwa hiyo usitumie nguvu kubwa sanaWashamba ndio maana huko kutwa ni ugomvi na umalaya sio starehe hizo ,utakutana na watu wa hovyo.
Wenzenu wanaenda sehemu zilizotulia ,sip kulewa