Vifo vya marafiki zangu wa karibu vimeniathiri kisaikolojia naogopa sana Ukimwi mpaka napitiliza. Kila nikifanya mapenzi naona zamu yangu imekuja

Vifo vya marafiki zangu wa karibu vimeniathiri kisaikolojia naogopa sana Ukimwi mpaka napitiliza. Kila nikifanya mapenzi naona zamu yangu imekuja

Naungana na mawazo yako.

Ukimwi unawapata watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri hasa kama ni kwa njia ya Ngono.

Kama ulivyosema mtu mwenye hela zake ni ngumu kuupata maana kitendo cha kuwa na hela kinaonesha ni Mtu serious ktk maisha unless ziwe pesa za Uchawa
Yeap ,zamani walikuwa wanapata ila sasa hata ukienda nchi zilizoendelea watu wanafanya ngono zembe haswa matajiri ila hutosikia wamepata HIV hata siku moja.

Njoo huku kwa wazembe, wananua hawa wanawake kweny mazingira machafu bila ya kutumia akili ,mwisho wa siku ni UTI na HIV.
 
Naungana na mawazo yako.

Ukimwi unawapata watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri hasa kama ni kwa njia ya Ngono.

Kama ulivyosema mtu mwenye hela zake ni ngumu kuupata maana kitendo cha kuwa na hela kinaonesha ni Mtu serious ktk maisha unless ziwe pesa za Uchawa
Mbona kwa story yake fupi inaonesha wazi walikua ni watu wa namna gani.

Wala jamaa asiogoe, aachane tu na ile lifestyle ya hao jamaa zake marehemu.
 
Habari wadau.

Ukweli mchungu najiona nina tatizo la kisaikolojia.

Binafsi chuo nilisoma Mzumbe enzi zile za division one tupu ndio wanapata admission.

Nikiwa chuo nilipata marafiki wengi sana ila hawa watatu wameniathiri kisaikolojia. Mmoja aliitwa Nelson mwingine Frank na mwingine Abdul.

Nelson alikuwa anasomea uhasibu kozi yake ilikuwa maarufu sana kwa vichwa wanaita BAF, Nelson ndie alikuwa best students wa masomo ya biashara kidato cha sita. Alipewa zawadi kwa kuongoza nchi nzima masomo hayo.

Frank alikuwa anasoma Law na yeye alikuwa kichwa sana.

Na Abdul nae alikuwa anasoma BAF na yeye alikuwa vizuri sana darasani.

Baada ya kumaliza chuo nelson alipata kazi kampuni maarufu za uhasibu wanaziita big four.. then akahamia TRA.

Frank alipata kazi baada ya chuo kama mkufunzi ama lecture wa chuo kimoja cha uma maarufu

Abdul na yeye alipata kazi Big four nyingine.. tofauti na ile alienda nelson.

Mimi pia nilipata kazi bank moja maarufu siitaji jina.

Baada ya chuo maisha yalikuwa bata sana maana marafiki wote tulikuwa jijini dar es salaam. Kila siku tunakutana tunakula bata sana siku za weekend.. maana tulipanga nyumba maeneo jirani.

Kwa ufupi marafiki zangu wote walifariki vifo vilivyofuatana.. ndani ya miaka mitano wakaondoka wote na kuniacha mpweke.

Alianza nelson alifariki kwa ini kufeli baada ya kupata hepatitis B

Akaja abdul na yeye alifariki kwa TB ambayo ilisababisha na HIV

Wa mwisho kabisa akawa Frank na yeye alifariki kwa bacteria kwenye ubongo waliosabishwa na HIV complications.

Nje ya hao Pia nilikuwa na rafiki yangu mwingine mwalimu nilijuana nae wakati ananifundisha Physics A level anaitwa Elias Na yeye na yeye akaja kufariki kwa sababu zinazosemekana ni HIV complications.

Ukweli vifo hivyo vya jamaa zangu vimeniathiri sana kisaikolojia.

Nimekuwa na huzuni sana na uoga mkubwa sana. Najiona Naogopa madem sana mpaka napitiliza.
Pole sana,endelea kuogopa hivyohivyo,kwakuwa unaendelea kuishi hiyo ni neema Mungu amaeachilia kwako, hivyo inakupasa kumcha yeye usiku na mchana maana shetani hata kuacha salama,usipoangalia unaweza kujikuta na wewe unawafuata kwa mtindo uleule...
 
Punguza ujinga dogo ,nimeshika sana pesa ...Ndio maana nikakuambia wewe ni wale washamba .

Soma kwanza uelewe Walivyopata UKIMWI ,ugonjwa huo kwa zinaa unapata watu wasiojielewa hata usemeje HIV inapata watu weny uwezo mdogo kwa kushindwa kujicontrol ,kuendeshwa na tamaa.

Pesa haikai kwa washamba kama wewe ,mwishoe unakufa kwa magonjwa ya aibu.

Mtu mweny pesa anaweza kupeleka watu wakala bata ila yeye hawezi ,bata kwa watoto kama nyie under 35 years
"Kwamba wanaopata ukimwi ni washamba"
Hii kauli ni ya mtu asiyejua maisha kama wewe na vip wale wanaokula maisha na hawajapata ukimwi upeo wako ni mdogo sana

Hujawahi shika fedha ndo maana unajitetea sana we bado unabangaiza
 
Kwamba wanaopata ukimwi ni washamba
Hii kauli ni ya mtu asiyejua maisha kama wewe
Hujawahi shika fedha ndo maana unajitetea sana
Huwezi kuamini ,soma uzi hao jamaa ni wasomi ..kama kampeni ya HIV tangu mwaka 2000's ilikuwa inabamba na wasomi walipata elimu ya kutosha mpaka ngazi ya msingi kama unakumbuka.

Sasa huwezi kuniambia msomi asijue jinsi ya kujiepusha , mazingira ya ulaji bata nyie sio kwamba mnajifunza kama wazungu ! Wabongo wakisema bata no ulevi na umalaya hakuna kipya .

Wajanja wanakula bata kwa kutembea sehemu tofauti na kujifunza ndio mwanzo wa exposure ,sasa washamba ndio hawa kulewa na uzinzi ndio bata 😂😂
 
Mkuu ume jam sana au ndio ushapata Streptococcus Meningitis [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]..maana ndio mana nime quotes eti kwa maelezo yako unasema TB ilipelekea HIV ....tangu lini TB ndio inaanza??

kinachoanza ni HIV then kinachofuata ni kitu kitalaam kinaitwa Opportunistic Infections "Magonjwa nyemelezi" ambapo kinga ya mwili inashuka ..ikishuka ndio individual anakua susceptible kirahisi kupata TB. na magonjwa mengine madogo madogo ambapo yakiwa mengi mwili hauwezi kuhimili matokeo yake kudhoofika.

Sasa wee unakuja na vistory vyako huko[emoji23][emoji23] unaleta ufwala eti TB ikapelekea HIV acha kudanganya umma bwana mdogo...wenzenu wakiwa darasani wee ulikua unajichukulia sheria mkononi [emoji23][emoji23]
Ujinga ndo unaokusumbua
Nimesema TB ni moja ya dalili kubwa za ukimwi asilimia kubwa ya watu wenye TB wana ukimwi

We bado ni mjinga kwa hiyo sio kosa lako
 
Huwezi kuamini ,soma uzi hao jamaa ni wasomi ..kama kampeni ya HIV tangu mwaka 2000's ilikuwa inabamba na wasomi walipata elimu ya kutosha mpaka ngazi ya msingi kama unakumbuka.

Sasa huwezi kuniambia msomi awe asijue jinsi ya kujiepusha , mazingira ya ulaji bata nyie sio kwamba mnajifunza kama wazungu ! Wabongo wakisema bata no ulevi na umalaya hakuna kipya .

Wajanja wanakubala bata kwa kutembea sehemu tofauti na kujifunza ndio mwanzo wa exposure ,sasa washamba ndio hawa kulewa na uzinzi ndio bata 😂😂
Kupata au kutokupata ugonjwa ni mapenzi ya Mungu
kuna watu wanafanya sana starehe na ngono zembe hawapati ukimwi na kuna watu ni wastaarabu ila wanaletewa ukimwi na wenza wao

Haya magonjwa ni kuomba tu Mungu usiojione leo ni mzima basi ukajiona ni mjanja au unaakili

Unaweza usipate ukimwi ila kisukari au kansa zikakutesa sana changamoto yako unaangalia maisha kwenye angle moja ndo maana nakuita mtoto angalia maisha kwa upana wake
 
Kupata au kutokupata ugonjwa ni mapenzi ya Mungu
Kuna watu wanabakwa wanapata ukimwi, kuna watu wanafanya sana starehe na ngono zembe hawapati ukimwi na kuna watu ni wastaarabu ila wanaletewa ukimwi na wenza wao

Haya magonjwa ni kuomba tu Mungu usiojione leo ni mzima basi ukajiona ni mjanja

Unaweza usipate ukimwi ila kisukari au kansa zikakutesa sana changamoto yako unaangalia maisha kwenye angle moja ndo maana nakuita mtoto angalia maisha kwa upana wake
Hao jamaa wamebakwa ,msomi mzima unawezaje kufanya ngono zembe?

Ina maana elimu imeshindwa kuwapa maarifa kabisa ya kijamii kama hayo?
 
Ndo maana nikakuambia bado ni mtoto hiyo niliyokuletea ni mifano tu
Na Wanaongoza kwa maambukizi ni wana-ndoa na sio vijana kama ulikua hujui
Hapa tunaongelea hao jamaa sio nje ya hapo jaribu kurudi kweny uzi .

Eti unakula bata ushamba tu ,kulewa na uzinzi kupatiliza ni ushamba.

Ukitaka kujua mimi na wewe nan mtoto angalia hoja zako?

Hakuna mtu mzima anakula bata 😂 akawa na akili timamu
 
Umebadilisha tena gia we ni kiboko
Jitahidi sana uwe na upeo mpana wa kufikiri sababu unaupeo mdogo sana
 
Umebadilisha tena gia we ni kiboko
Jitahidi sana uwe na upeo mpana wa kufikiri sababu unaupeo mdogo sana
Upeo upi dogo? Hoja zako zinaonyesha bado mdogo ,tena yule anayependa kufuata mkumbo wa marafiki hata kujitegemea bado.

Ukiambiwa uende kulewa basi unaenda ,hamna bata huo ni ushamba wa utotoni ngoja ukue .
 
Kufanya starehe sio ushamba
Jambo kama wewe hufanyi na mwingine akifanya sio sababu ya kuliita ni ushamba

Kufanya starehe sio kosa la jina ndo maana nikakuambia wewe bado ni mdogo sababu kama mtu kufanya starehe unaona ni ushamba basi unasafari ndefu sana kifikra
 
Kufanya starehe za kulewa na uzinzi ni ushamba ...Kaa vile unaweza kufanya mambo kimya kimya .

Kama unafanya basi ni ushamba acha.
 
Back
Top Bottom