Vifo vya marafiki zangu wa karibu vimeniathiri kisaikolojia naogopa sana Ukimwi mpaka napitiliza. Kila nikifanya mapenzi naona zamu yangu imekuja

Vifo vya marafiki zangu wa karibu vimeniathiri kisaikolojia naogopa sana Ukimwi mpaka napitiliza. Kila nikifanya mapenzi naona zamu yangu imekuja

Sio kweli mkuu kwamba TB ni dalili ya HIV,bali ni sahihi mwenye HIV anapata TB kirahisi kwa sababu mwili wake una upungufu wa kinga hivyo kupelekea magonjwa mengi kumuandama ikiwemo TB
Na si kwamba kila mwenye TB basi ana HIV
Na TB inatobika na mgonjwa anapona kabisa
Acha wenge na kukurupuka fuatulia conversation na huyo jamaa
 
We ndo mjinga TB ni moja ya dalili ya HiV
HIV maana yake ni ukosefu wa kinga mwilini na unapelekea upate magonjwa mengine kirahisi kama TB

Mimi nilishawah uguza mgonjwa wa TB cha kwanza kabisa hospitalini walimpima ukimwi
Mkuu ume jam sana au ndio ushapata Streptococcus Meningitis [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]..maana ndio mana nime quotes eti kwa maelezo yako unasema TB ilipelekea HIV ....tangu lini TB ndio inaanza??

kinachoanza ni HIV then kinachofuata ni kitu kitalaam kinaitwa Opportunistic Infections "Magonjwa nyemelezi" ambapo kinga ya mwili inashuka ..ikishuka ndio individual anakua susceptible kirahisi kupata TB. na magonjwa mengine madogo madogo ambapo yakiwa mengi mwili hauwezi kuhimili matokeo yake kudhoofika.

Sasa wee unakuja na vistory vyako huko[emoji23][emoji23] unaleta ufwala eti TB ikapelekea HIV acha kudanganya umma bwana mdogo...wenzenu wakiwa darasani wee ulikua unajichukulia sheria mkononi [emoji23][emoji23]
 
"Ukipata UKIMWI ufe na wakuzike huko huko wasikulete nyumbani kabisa"

Huu ni mkwara wa bi mkubwa (RIP) alionipiga wakati nakwenda kuanza kidato cha kwanza sehemu moja iliyokuwa na UKIMWI hatari. Maneno haya sijayasahau mpaka leo na nilishasema kuwa nitakuja kupata UKIMWI kwa njia ambazo ziko nje ya uwezo wangu.

➡️➡️ Usiishi kwa hofu bali kula bata lakini kwa tahadhari. Na usiuze mechi hata kama pisi ni nzuri kuliko malaika!
Ila tuache utani! Kukojoa ndani kuna raha yake japo ngoma sio poa
 
Habari wadau.

Ukweli mchungu najiona nina tatizo la kisaikolojia.

Binafsi chuo nilisoma Mzumbe enzi zile za division one tupu ndio wanapata admission.

Nikiwa chuo nilipata marafiki wengi sana ila hawa watatu wameniathiri kisaikolojia. Mmoja aliitwa Nelson mwingine Frank na mwingine Abdul.

Nelson alikuwa anasomea uhasibu kozi yake ilikuwa maarufu sana kwa vichwa wanaita BAF, Nelson ndie alikuwa best students wa masomo ya biashara kidato cha sita. Alipewa zawadi kwa kuongoza nchi nzima masomo hayo.

Frank alikuwa anasoma Law na yeye alikuwa kichwa sana.

Na Abdul nae alikuwa anasoma BAF na yeye alikuwa vizuri sana darasani.

Baada ya kumaliza chuo nelson alipata kazi kampuni maarufu za uhasibu wanaziita big four.. then akahamia TRA.

Frank alipata kazi baada ya chuo kama mkufunzi ama lecture wa chuo kimoja cha uma maarufu

Abdul na yeye alipata kazi Big four nyingine.. tofauti na ile alienda nelson.

Mimi pia nilipata kazi bank moja maarufu siitaji jina.

Baada ya chuo maisha yalikuwa bata sana maana marafiki wote tulikuwa jijini dar es salaam. Kila siku tunakutana tunakula bata sana siku za weekend.. maana tulipanga nyumba maeneo jirani.

Kwa ufupi marafiki zangu wote walifariki vifo vilivyofuatana.. ndani ya miaka mitano wakaondoka wote na kuniacha mpweke.

Alianza nelson alifariki kwa ini kufeli baada ya kupata hepatitis B

Akaja abdul na yeye alifariki kwa TB ambayo ilisababisha na HIV

Wa mwisho kabisa akawa Frank na yeye alifariki kwa bacteria kwenye ubongo waliosabishwa na HIV complications.

Nje ya hao Pia nilikuwa na rafiki yangu mwingine mwalimu nilijuana nae wakati ananifundisha Physics A level anaitwa Elias Na yeye na yeye akaja kufariki kwa sababu zinazosemekana ni HIV complications.

Ukweli vifo hivyo vya jamaa zangu vimeniathiri sana kisaikolojia.

Nimekuwa na huzuni sana na uoga mkubwa sana. Najiona Naogopa madem sana mpaka napitiliza.
Vijana tukiwaambia wachane na ngono hawataki wacha wafe tuu na hiv watuache wazee tunadunda mtaani 🤣🤣🤣🤣

Hao jamaa zako itakuwa walikuwa wanalipizia kukosa mbususu chuo ndio wakafakamia mpaka pasipofakamiwa 🤣🤣🤣🤣
 
Inaonekana bado ni kijana mdogo usiyejua maisha ni nini alafu unaonekana hujawahi shika fedha nyingi kwenye maisha yako
Sikulaumu
Mfano Kuna watu ni wastaarabu ila wenzao wao wamewaletea ukimwi utawalaumu na kuwaita washamba
Punguza ujinga dogo ,nimeshika sana pesa ...Ndio maana nikakuambia wewe ni wale washamba .

Soma kwanza uelewe Walivyopata UKIMWI ,ugonjwa huo kwa zinaa unapata watu wasiojielewa hata usemeje HIV inapata watu weny uwezo mdogo kwa kushindwa kujicontrol ,kuendeshwa na tamaa.

Pesa haikai kwa washamba kama wewe ,mwishoe unakufa kwa magonjwa ya aibu.

Mtu mweny pesa anaweza kupeleka watu wakala bata ila yeye hawezi ,bata kwa watoto kama nyie under 35 years
 
Acha mawazo hayo mara moja...

Aliwazalo mjinga ndilo humtokea...

Kifo kipo ila maisha lazima yaendelee...

Enjoy ila kuwa makini.

NB: Sijakutuma ukachomeke na kuchomoa
Kwanini usi olewe naye tuu ukamtuliza hofu moja kwa moja mtoto wa mtu. Ili awe ana chomeka na kuchomoa kwa amani na utulivu. Fanya hivyo Mkuu
 
Punguza ujinga dogo ,nimeshika sana pesa ...Ndio maana nikakuambia wewe ni wale washamba .

Soma kwanza uelewe Walivyopata UKIMWI ,ugonjwa huo kwa zinaa unapata watu wasiojielewa hata usemeje HIV inapata watu weny uwezo mdogo kwa kushinda kujicontrol ,kuendeshwa na tamaa.

Pesa haikai kwa washamba kama wewe ,mwishoe unakufa kwa magonjwa ya aibu.

Mtu mweny pesa anaweza kupeleka watu wakala bata ila yeye hawezi ,bata kwa watoto kama nyie under 35 years
Naungana na mawazo yako.

Ukimwi unawapata watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri hasa kama ni kwa njia ya Ngono.

Kama ulivyosema mtu mwenye hela zake ni ngumu kuupata maana kitendo cha kuwa na hela kinaonesha ni Mtu serious ktk maisha unless ziwe pesa za Uchawa
 
Back
Top Bottom