Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Acha wenge na kukurupuka fuatulia conversation na huyo jamaaSio kweli mkuu kwamba TB ni dalili ya HIV,bali ni sahihi mwenye HIV anapata TB kirahisi kwa sababu mwili wake una upungufu wa kinga hivyo kupelekea magonjwa mengi kumuandama ikiwemo TB
Na si kwamba kila mwenye TB basi ana HIV
Na TB inatobika na mgonjwa anapona kabisa