Vifo vya vigogo vyaacha Simanzi

Vifo vya vigogo vyaacha Simanzi

Viongozi wetu walitoa maneno ya dhihaka sana kuhusu gonjwa hili, hawakuacha maneno ya akiba, na licha ya gonjwa kurudi kwa kasi ya 4G ila bado wanaongea maneno ya uongo kwamba halipo (Wamelibatiza jina jipya Pnemonia).

Taifa lipo njia panda, wananchi wanataharuki wakisubiri tamko la serikali, ila serikali ipo kimya ikisisitiza hakuna Covid-19 kuhofia kuaibika mbele ya walimwengu.

Mpaka lije kuondoka na kigogo mmoja wa juu ndio akili zitawasogea. Na litaondoka tu na mtu wa juu hivi karibuni.

Nasema uongo ndugu zanguuuS
Huyo mtu wa juu keshapewa chanjo na wachina wake, mbinafsi kupindukia
 
Trump alipata mapema mlipuko wa Covid-19 lakini hakuchukua hatua zozote za lazima, Matokeo yake maelfu kwa maelfu ya wamarekani walipukutika wanaendelea kupukutika, kwa sababu ya kiongozi asieshaurika.
 
Viongozi wetu walitoa maneno ya dhihaka sana kuhusu gonjwa hili, hawakuacha maneno ya akiba, na licha ya gonjwa kurudi kwa kasi ya 4G ila bado wanaongea maneno ya uongo kwamba halipo (Wamelibatiza jina jipya Pnemonia).

Taifa lipo njia panda, wananchi wanataharuki wakisubiri tamko la serikali, ila serikali ipo kimya ikisisitiza hakuna Covid-19 kuhofia kuaibika mbele ya walimwengu.

Mpaka lije kuondoka na kigogo mmoja wa juu ndio akili zitawasogea. Na litaondoka tu na mtu wa juu hivi karibuni.

Nasema uongo ndugu zanguuu?
Namwona umy mwalimu akimng'ong'a gwajima hapa
 
Mpuuzi wewe unafikiri kitoto sana yaani watu wanamiaka 65 kwenda mbele na wanamaradhi yao wewe unazusha yako.Sasa unataka utangaziwe nini wakati uliambiwa tokea siku nyingi chukua tahadhari.Kuna watu mnatafuta umaarufu sana.
 
Back
Top Bottom