masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Ajali za magari ya serikali sasa zimekithiri.
Watu wanakufa kama kuku na makosa yanalundikwa kwa dereva tu.
Sasa inabidi iwepo uwajibikaji kisiasa kwa makosa ambayo inaelekea usimamizi wa sheria na kanuni za barabarani ni hafifu.
Kuua kwa mpigo watu 14 hawezi laumiwa dereva peke yake.
Mkuu wa msafara aliyekuwa katika ziara, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza AJIUZULU kwa kuwajibika.
Tukumbuke Rais Mwinyi alipokuwa Mkuu wa Mkoa nafikiri huohuo wa Mwanza, kuna wafungwa walikufa kwa kukosa hewa lupango.
Alijiuzulu hatama hakuhusika mija kwa moja.
Katika hili kuna uhusika wa Mkuu wa Mkoa: AJIUZULU.
Hii ni kwa heshima ya marehemu.
SAHIHISHO
Mwinyi alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, wakati wa vifo vya mahabusu Shinyanga.
Mzee Mwinyi ali set precedence ya principle ya uwajibikaji ambayo hadi leo viongozi wengi wanashindwa kuifuata.