Vifo vya watu 14: Mkuu wa Mkoa Mwanza awajibike

Sheria Zinamkandamiza Dereva Tu
Awajibike RC Haraka
RC ndio alikuwa anakanyaga mafuta ?? Accelerator ?? Nchi hii madereva wengi ni fake drivers, dereva anaovertake kwenye kona au kwenye mlima unategemea nini kitatokea ?? Halafu mnasema Amri ya Mungu ! Meli ina uwezo wa kubeba abiria 500 lakini itapakia abiria 1000 ikizama watasema Amri ya Mungu !! Hata kwenye uzembe wetu tunatoa majibu mepesi !!!
 
Inaonekana ndugu wa mkuu wa mkoa wamevamia Uzi , hakukuwa na haja ya kuzunguka karbia km 300 kwenda ukerewe kupitia mkoani , Simiyu na mkoa wa mara, wakat kuna shortcut ya meli toka mwanza direct to ukerewe ...!!! Kwa vyovyote vile lazima speed iwe kubwa alaf hyo barabara ni mbovu kinyama ina viraka na mashimo mengi , Nina uhakika dereva hakuwa anaifahamu vizur , na ina Kona Kona za ajabu .....!!! Eneo Hilo ajali nyingi Sana zishatokea, kipindi cha jiwe kidog zili-mute
 
Inaonekana ndugu wa mkuu wa mkoa wamevamia Uzi , hakukuwa na haja ya kuzunguka karbia km 300 kwenda ukerewe kupitia mkoani , Simiyu na mkoa wa mara, wakat kuna shortcut ya meli toka mwanza direct to ukerewe ...!!! Kwa vyovyote vile lazima speed iwe kubwa alaf hyo barabara ni mbovu kinyama ina viraka na mashimo mengi , Nina uhakika dereva hakuwa anaifahamu vizur , na ina Kona Kona za ajabu .....!!! Eneo Hilo ajali nyingi Sana zishatokea kipindi cha jiwe kidog zili-mute
Lazima dhana ya kuwajibika itekelezwe kiutawala.
Mkuu wa mkoa abasimamia vyimbo vyote vya ulinzi na usakama mkoani, katika hili anawajibika moja kwa moja.
AJIUZULU.
 
Alikuwa mkuu wa msafara.
Ukifiwa kwa uzembe utashangilia sana, maana mambumbumbu na mazezeta mnao amini vifo vyote ni kudra ya Mola mko wengi.
Wavivu wa kufikiri siku zote huwa wanapenda kutoa majibu mepesi katika maswali magumu !! Kama kila kitu kingekuwa ni kwa amri ya Mola basi kusingekuwepo na kuhukumiwa siku ya mwisho ! Mola ameamrisha tuchukue tahadhari pia sio kufanya mambo yetu kiholela holela tu !!
 
Mwinyi alishiba Iman ya dini yake akaona hatia.
Imani ya dini yake ndiyo iliyomfanya akawatendea wema watz na Mungu kambariki miaka mingi mia atapita.
Wenzake wote waliowatendea mabaya watz wametangulia.Hata JK atagonga miaka ushee.
Mkulungwa umewaza mbali sana aisee
 
Inaonekana ndugu wa mkuu wa mkoa wamevamia Uzi , hakukuwa na haja ya kuzunguka karbia km 300 kwenda ukerewe kupitia mkoani , Simiyu na mkoa wa mara, wakat kuna shortcut ya meli toka mwanza direct to ukerewe ...!!! Kwa vyovyote vile lazima speed iwe kubwa alaf hyo barabara ni mbovu kinyama ina viraka na mashimo mengi , Nina uhakika dereva hakuwa anaifahamu vizur , na ina Kona Kona za ajabu .....!!! Eneo Hilo ajali nyingi Sana zishatokea, kipindi cha jiwe kidog zili-mute
Kabisa hapa kuwa na sababu ya kupita simiyu kwenda uk ni upumbavu tu,
 
Inaonekana ndugu wa mkuu wa mkoa wamevamia Uzi , hakukuwa na haja ya kuzunguka karbia km 300 kwenda ukerewe kupitia mkoani , Simiyu na mkoa wa mara, wakat kuna shortcut ya meli toka mwanza direct to ukerewe ...!!! Kwa vyovyote vile lazima speed iwe kubwa alaf hyo barabara ni mbovu kinyama ina viraka na mashimo mengi , Nina uhakika dereva hakuwa anaifahamu vizur , na ina Kona Kona za ajabu .....!!! Eneo Hilo ajali nyingi Sana zishatokea, kipindi cha jiwe kidog zili-mute
Na mimi hilo nimejiuliza sana kwanini wazunguke hiko kote wakati kuna Meli ya Mv Butiama ingepeleka viongozi then magari yakapakiwa kwenye Mv Nyehunge, chap wanakuwa Ukerewe. Lakini hii wilaya kama ina mizunguko mirefu hivyo ni bora ikaongozwa na mkoa wa Mara ndo wapo karibu zaidi na kuingiliana sana
 
Hii barabara inabidi ifumuliwe ijengwe upya sio kwa viraka vile
 
Na mimi hilo nimejiuliza sana kwanini wazunguke hiko kote wakati kuna Meli ya Mv Butiama ingepeleka viongozi then magari yakapakiwa kwenye Mv Nyehunge, chap wanakuwa Ukerewe. Lakini hii wilaya kama ina mizunguko mirefu hivyo ni bora ikaongozwa na mkoa wa Mara ndo wapo karibu zaidi na kuingiliana sana
Mipango ya Mungu sio sawa nabya wanadamu, tumshukuru Mungu kwa kila jambo
 
iMarkup_20220112_095251.jpg

Unazungukaje kupita mikoa miwili , (Simiyu & Mara) kutembelea wilaya , wakati kuna short curt
 
Nasikitika kwa msiba huo uliotokea
Lakin niwaimbie alipo kuwa anenda mkuu wa mkoa ni ukelewe ndiyo lakin ukelewe ni kubwa na ziara yake ilikuwa inaanzia kisiwa ambacho kipo karibu na wilaya ya bunda kupitia kisorya. Ambapo ingewachukua saa kama 3 hv had kufika hapo ( 2hrs mwz to bunda) the dak 30 bunda had kisorya afu dak 30 kufuka kuingia kwenye hicho kisiwa
Lakin kama angeanzia mwanza kwa meli basi wangetumia zaid ya saa 7 kufika huko so me naona hapo waliangalia swala la muda tu
Anyway lakin swala la kuwajibishwa basi kuanzia raisi mpaka wazir wa mambo ya ndani wajihudhuru maan wameshindwa kuandaa mazingira mazuri ya barabara
 
Hiyo haiondoi msimami wa dhana ya uwajibikaji.
Watu 14 wanakufa under yiur watch na viongizi wanakenua meno.
Mkuu kubali tu kuwa, kwa uzi wako huu, umechemka basi!!eti under his watch!!kwani wamekufa kwa kipigo akiwa anashuhudia?
 
Mkuu, ushauri tu, usiandike mada ukiwa bar, unakosea sana japo na sisi tunakosea
Naandika kwa hasira mkuu.
Inaniuma sana wanaotoa maagizo na usimamizi hawajipimi for their faulty actions.
Kama dhamana yote ya maisha ya waliikufa anatupiwa dereva basi hili ni lazima litatokea tena.
Mwaka jana ajali mbaya kama hizi zilitokea Mbeya, moja ya TRA ikaua nafikiri watani, ya pili TANESCO ikaua nafikiri watu nane.
Viongizi wanaishia kutia rambirambi.
File closed.
Haiwezi kuendelea hivi.
 
Mkuu kubali tu kuwa, kwa uzi wako huu, umechemka basi!!eti under his watch!!kwani wamekufa kwa kipigo akiwa anashuhudia?
Waliokufa ni binadamu ,siyo mbuzi.
Tukutakie heri ufiwe kwa staili hii, ndiyo utaielewa mada.
 
Back
Top Bottom