masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
- Thread starter
-
- #21
Alikuwa mkuu wa msafara.Sasa mkuu wa mkoa amefanya nini katika ajali hiyo kiasi ajiuzuru?
Ukifiwa kwa uzembe utashangilia sana, maana mambumbumbu na mazezeta mnao amini vifo vyote ni kudra ya Mola mko wengi.Halafu eti ni JF EXPERT. PUMBAFF KABISA
Labda mtu wa msafara awajibike. Kwanini walipanga kuzunguka badala ya kutumia kivuko cha short cut?Sasa mkuu wa mkoa amefanya nini katika ajali hiyo kiasi ajiuzuru?
RC ndio alikuwa anakanyaga mafuta ?? Accelerator ?? Nchi hii madereva wengi ni fake drivers, dereva anaovertake kwenye kona au kwenye mlima unategemea nini kitatokea ?? Halafu mnasema Amri ya Mungu ! Meli ina uwezo wa kubeba abiria 500 lakini itapakia abiria 1000 ikizama watasema Amri ya Mungu !! Hata kwenye uzembe wetu tunatoa majibu mepesi !!!Sheria Zinamkandamiza Dereva Tu
Awajibike RC Haraka
Lazima dhana ya kuwajibika itekelezwe kiutawala.Inaonekana ndugu wa mkuu wa mkoa wamevamia Uzi , hakukuwa na haja ya kuzunguka karbia km 300 kwenda ukerewe kupitia mkoani , Simiyu na mkoa wa mara, wakat kuna shortcut ya meli toka mwanza direct to ukerewe ...!!! Kwa vyovyote vile lazima speed iwe kubwa alaf hyo barabara ni mbovu kinyama ina viraka na mashimo mengi , Nina uhakika dereva hakuwa anaifahamu vizur , na ina Kona Kona za ajabu .....!!! Eneo Hilo ajali nyingi Sana zishatokea kipindi cha jiwe kidog zili-mute
Wavivu wa kufikiri siku zote huwa wanapenda kutoa majibu mepesi katika maswali magumu !! Kama kila kitu kingekuwa ni kwa amri ya Mola basi kusingekuwepo na kuhukumiwa siku ya mwisho ! Mola ameamrisha tuchukue tahadhari pia sio kufanya mambo yetu kiholela holela tu !!Alikuwa mkuu wa msafara.
Ukifiwa kwa uzembe utashangilia sana, maana mambumbumbu na mazezeta mnao amini vifo vyote ni kudra ya Mola mko wengi.
Mkulungwa umewaza mbali sana aiseeMwinyi alishiba Iman ya dini yake akaona hatia.
Imani ya dini yake ndiyo iliyomfanya akawatendea wema watz na Mungu kambariki miaka mingi mia atapita.
Wenzake wote waliowatendea mabaya watz wametangulia.Hata JK atagonga miaka ushee.
Kabisa hapa kuwa na sababu ya kupita simiyu kwenda uk ni upumbavu tu,Inaonekana ndugu wa mkuu wa mkoa wamevamia Uzi , hakukuwa na haja ya kuzunguka karbia km 300 kwenda ukerewe kupitia mkoani , Simiyu na mkoa wa mara, wakat kuna shortcut ya meli toka mwanza direct to ukerewe ...!!! Kwa vyovyote vile lazima speed iwe kubwa alaf hyo barabara ni mbovu kinyama ina viraka na mashimo mengi , Nina uhakika dereva hakuwa anaifahamu vizur , na ina Kona Kona za ajabu .....!!! Eneo Hilo ajali nyingi Sana zishatokea, kipindi cha jiwe kidog zili-mute
Na mimi hilo nimejiuliza sana kwanini wazunguke hiko kote wakati kuna Meli ya Mv Butiama ingepeleka viongozi then magari yakapakiwa kwenye Mv Nyehunge, chap wanakuwa Ukerewe. Lakini hii wilaya kama ina mizunguko mirefu hivyo ni bora ikaongozwa na mkoa wa Mara ndo wapo karibu zaidi na kuingiliana sanaInaonekana ndugu wa mkuu wa mkoa wamevamia Uzi , hakukuwa na haja ya kuzunguka karbia km 300 kwenda ukerewe kupitia mkoani , Simiyu na mkoa wa mara, wakat kuna shortcut ya meli toka mwanza direct to ukerewe ...!!! Kwa vyovyote vile lazima speed iwe kubwa alaf hyo barabara ni mbovu kinyama ina viraka na mashimo mengi , Nina uhakika dereva hakuwa anaifahamu vizur , na ina Kona Kona za ajabu .....!!! Eneo Hilo ajali nyingi Sana zishatokea, kipindi cha jiwe kidog zili-mute
Hii barabara inabidi ifumuliwe ijengwe upya sio kwa viraka vileInaonekana ndugu wa mkuu wa mkoa wamevamia Uzi , hakukuwa na haja ya kuzunguka karbia km 300 kwenda ukerewe kupitia mkoani , Simiyu na mkoa wa mara, wakat kuna shortcut ya meli toka mwanza direct to ukerewe ...!!! Kwa vyovyote vile lazima speed iwe kubwa alaf hyo barabara ni mbovu kinyama ina viraka na mashimo mengi , Nina uhakika dereva hakuwa anaifahamu vizur , na ina Kona Kona za ajabu .....!!! Eneo Hilo ajali nyingi Sana zishatokea, kipindi cha jiwe kidog zili-mute
Mipango ya Mungu sio sawa nabya wanadamu, tumshukuru Mungu kwa kila jamboNa mimi hilo nimejiuliza sana kwanini wazunguke hiko kote wakati kuna Meli ya Mv Butiama ingepeleka viongozi then magari yakapakiwa kwenye Mv Nyehunge, chap wanakuwa Ukerewe. Lakini hii wilaya kama ina mizunguko mirefu hivyo ni bora ikaongozwa na mkoa wa Mara ndo wapo karibu zaidi na kuingiliana sana
Asante sana mkuu, ndio maana nasema Mkuu wa Nkia awajibike for all the wring decisiins kiutawala.View attachment 2077835
Unazungukaje kupita mikoa miwili , (Simiyu & Mara) kutembelea wilaya , wakati kuna short curt
Mkuu, ushauri tu, usiandike mada ukiwa bar, unakosea sana japo na sisi tunakoseaHiyo haiondoi msimami wa dhana ya uwajibikaji.
Watu 14 wanakufa under yiur watch na viongizi wanakenua meno.
Mkuu kubali tu kuwa, kwa uzi wako huu, umechemka basi!!eti under his watch!!kwani wamekufa kwa kipigo akiwa anashuhudia?Hiyo haiondoi msimami wa dhana ya uwajibikaji.
Watu 14 wanakufa under yiur watch na viongizi wanakenua meno.
Naandika kwa hasira mkuu.Mkuu, ushauri tu, usiandike mada ukiwa bar, unakosea sana japo na sisi tunakosea
Aliruhusu au kugiza kabisa mwendo kasiKwani mkuu wa mkoa ndiye aliye sababisha tair ya mbele ya gari ipasuke?
Hiyo ni ajali kama ajali zingine zilivyo msianze kutafuta watu kwa kuwaonea
Waliokufa ni binadamu ,siyo mbuzi.Mkuu kubali tu kuwa, kwa uzi wako huu, umechemka basi!!eti under his watch!!kwani wamekufa kwa kipigo akiwa anashuhudia?