Vifo vya watu 14: Mkuu wa Mkoa Mwanza awajibike

Madereva wanaoendesha stk, stl dfp na magari ya jeshi wanajiona wapo juu ya sheria
 
Mkuu wa mkoa wa Mwanza alienda kufanya nini mkoa wa Simiyu na waandishi wa habari waliopandishwa kwenye magari ya serikali yasio na bima huku yakiendeshwa kizembe kiasi hicho?
 
Kwa hiyo kwa vile ni wa serikali, ruksa kuua kwa ajsli.
Sanasana rambirambi zinawahusu.
As far as i know ajali inakuja in different shape and reasons. Haimaanish kuwa wanaua makusudi nope.. kama madereva wengine walivyo hakuna anaekusudia apate ajali au asababishe ajali.

Mimi sio dereva wa serikali. Lakin fact is ni wa serikali hata muwaandame vip bado ni sehem ya serikal na hamtowafanya chochote
 
Kwa hiyo business as usual.
Hayo ni mawazo ya bench polishera and file pushers.
Do they care?
No!
Naunga mkono its time mtu anawajibika, Mkuu wa Mkia.
 
Kwa hiyo business as usual.
Hayo ni mawazo ya bench polishera and file pushers.
Do they care?
No!
Naunga mkono its time mtu anawajibika, Mkuu wa Mkia.
Business as usual. Unadhan kuna mtu atawawajibisha?
Hao hao unatarajia wawa wajibishe ndio hao hao wanaowatumia.
Unadhani nn kitatokea?

Sisemi its impossible. Lakin mwenye guts za kufanya hivyo yuko wapi?
 
Mkuu wa mkoa wa Mwanza alienda kufanya nini mkoa wa Simiyu na waandishi wa habari waliopandishwa kwenye magari ya serikali yasio na bima huku yakiendeshwa kizembe kiasi hicho?
Waandishi wa habari hawathaminiwi na viongizi.
Wanaswagwa kama ngombe, ilimradi wamwandike vizuri huyo kiongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…