Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
-
- #41
Kwa watu wa Iringa sawa lakin si kwa kila mtu. Kwa mfano mtoto anayebakwa anapofichwa uso wake siyo kwamba kwa wale walioshuhudia au ndugu zake hawamjui.Sasa unaficha nini wakati umewataja tayari.Hao wanafahamika kwa wakazi wa Iringa.
Taarifa zinamilikiwa na serikali. (kichinachina)Hata mimi sijaelewa mantiki ya uzi unless kauandika kwa wanaoishi Iringa, alipaswa awataje na sisi wadau wa Iringa tuliombali tupate taarifa
Sasa tutaaminije kama maarufu? Askari akiwa rafiki yako anakuwa maarufu tayari? Kwa jinsi kichwa cha habari kilivyo basi ingependeza ungewata, bila hivyo uzi unapungua uzitoSio vizuri kutaja majina ya wafu wa watu.
Lakini jana tena tumempoteza Askari Polisi maarufu sana aliyekuwa ana marafiki wa kila rika na hali. Siku tano Kabla yake aliyekuwa Dereva wa OCD naye alipoteza maisha katika staili inayofikirisha sana.
Hivi kama Kiongozi Mkuu amesema hakuna tena corona Tanz unafikiri nn kingetokea?? Nae kaonekana Kanisani Chato na juzi tena Dom yeye na Wote waliokuwepo maeneo hayo hakuna hata mmoja aliyevalia BARAKOA. Hii alifanya makusudi kuwaaminisha kuwa corona imepotea ghafla Tz.Watu hawachukui tena tahadhari kwa sababu wamejisahau kuwa Corona ipo!
R.I.P mzee mbata!
But juzikati DC alisema naye aliumwa COVID-19 wiki kadhaa zilizopita.
Ndiye yeye!!Mzee Mbata yupi? Wa hapo sokoni kuangalia polisi?
Mchungaji Lusekelo amesema Corona imezikiwa makanyagio Iringa!Wanyaru mmeambiwa kuna corona bado mnabisha na mnatafuta sababu zingine za vifo. Corona ni ugonjwa na sio siasa za kina Happi
😆😆😆Mchungaji Lusekelo amesema Corona imezikiwa makanyagio Iringa!
Wakati niko Iringa sikuwahi kufikiri kama Lusekelo anaweza kuwa mchungaji..... mambo hubadilika sana!
Kila jambo kwenye dunia ya wajinga linawezekana. Kuwa mchungaji inawezekana lakini kuendelea na uchungaji hapo ndipo shida ilipo!!Wakati niko Iringa sikuwahi kufikiri kama Lusekelo anaweza kuwa mchungaji..... mambo hubadilika sana!
Hivi kwanini good cops wana go wanabaki rogue cops?Sio vizuri kutaja majina ya wafu wa watu.
Lakini jana tena tumempoteza Askari Polisi maarufu sana aliyekuwa ana marafiki wa kila rika na hali. Siku tano Kabla yake aliyekuwa Dereva wa OCD naye alipoteza maisha katika staili inayofikirisha sana.
Ndiye yeye!!
Sawa!! Dukani kwake kulikuwa kama ni kituo cha watu wanaokwenda Mbugani Ruaha!!Ngoja nihakiki narudi kuthibitisha
Watu maarufu kina naniKwa takribani siku kumi zilizopita vimetokea mfululizo vifo kadhaa vya watu maarufu hapa Iringa hadi kuzusha maswali mengi sana.
Inawezekana Mungu ameamua kuchukua watu maarufu wanaofahamika hapa Iringa ili kuleta watu wengine maarufu wa kizazi hiki. Lakini inafikirisha sana!!