Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
-
- #101
Nsangalufu yupi mkuu?Bwashee sasa hao askari ndio watu " maarufu' kweli?
Ingekuwa enzi za akina Nsangalufu sawa!
Kwani wewe hujui kuna watu wakifariki wanaitwa hayati na wengine marehemu!!?
Wiki hii tumepoteza watu watano Maarufu.
1. Mzee Semaganga
2. Mzee Kaptein Lugenge
4. Mzee Fungo wa Vantela.
5. Mzee Mwamgiga.
Mungu awapumzishe kwa Amani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Njia ya wote.Wiki hii tumepoteza watu watano Maarufu.
1. Mzee Semaganga
2. Mzee Kaptein Lugenge
4. Mzee Fungo wa Vantela.
5. Mzee Mwamgiga.
Mungu awapumzishe kwa Amani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nchi ina baadhi ya watu wachache na ambao ni wa ajabu sana. Inabidi tuwe waangalifu maana kunaweza kukatokea hata watu wa kupulizia sumu wengine kijanja ili idhaniwe kuwa ni Corona imerudi kwa kasi kubwaKwa takribani siku kumi zilizopita vimetokea mfululizo vifo kadhaa vya watu maarufu hapa Iringa hadi kuzusha maswali mengi sana.
Inawezekana Mungu ameamua kuchukua watu maarufu wanaofahamika hapa Iringa ili kuleta watu wengine maarufu wa kizazi hiki. Lakini inafikirisha sana!!
Hao wote wamefia Hospitalini.Hii nchi ina baadhi ya watu wachache na ambao ni wa ajabu sana. Inabidi tuwe waangalifu maana kunaweza kukatokea hata watu wa kupulizia sumu wengine kijanja ili idhaniwe kuwa ni Corona imerudi kwa kasi kubwa
...Sio vizuri kutaja majina ya Wafu?? Kwa mini?? Yaani Mtanzania mwenzetu amefariki lakini sio vizuri kutaja jina lake??Sio vizuri kutaja majina ya wafu wa watu.
Lakini jana tena tumempoteza Askari Polisi maarufu sana aliyekuwa ana marafiki wa kila rika na hali. Siku tano Kabla yake aliyekuwa Dereva wa OCD naye alipoteza maisha katika staili inayofikirisha sana.
Wenyewe tunaona ufaji huu si wa kawaida wewe unadai ni kawaida.Huko Iringa haipiti wiki bila msiba na ndio kawaida yake mpaka kuna mhehe hapa huwa namtania kuwa nyie mnaongoza kwa kufa,hiyo before corona sasa sioni cha ajabu watu kufa huko Iringa.
Hawa ni baadhi ya watu waliyowahi kuugua Covid-19 na wakapona.
Anna Mghwila.
Mwana FA.
Salam SK.(meneja wa Diamond?)
Mtoto wa Magufuli.
Mtoto wa Mbowe.
Na sasa Maalim seifu amejitangaza kuumwa Covid-19, tunaimani atapona pia
Kingwendu sio maarufu?Bwashee sasa hao askari ndio watu " maarufu' kweli?
Ingekuwa enzi za akina Nsangalufu sawa!
Ipogolo kwa mwagongo! Nimezaliwa hapo nimekulia hapo nimesoma kwa mkelemiMkangafu wa hatari na nmepiga na msapulo na kande!! Karibu sana nipo hapa Ipogolo kwa Mwagongo!!
Usinikumbushe Miami.Poleni sana Iringa,My favourite town to vizit.
Miami bado pana amsha amsha zake flani!
Kama nilivyosema kuwa huko Iringa huwa mara kwa mara tunasikia habari za vifo na si hali ya kawaida kwa sehemu zengine,sasa watu maarufu nao ni kama binaadamu wengine.
Ngoja uugue uponeHuko Iringa haipiti wiki bila msiba na ndio kawaida yake mpaka kuna mhehe hapa huwa namtania kuwa nyie mnaongoza kwa kufa,hiyo before corona sasa sioni cha ajabu watu kufa huko Iringa.
Hawa ni baadhi ya watu waliyowahi kuugua Covid-19 na wakapona.
Anna Mghwila.
Mwana FA.
Salam SK.(meneja wa Diamond?)
Mtoto wa Magufuli.
Mtoto wa Mbowe.
Na sasa Maalim seifu amejitangaza kuumwa Covid-19, tunaimani atapona pia
Kwani haukubali kuwa wanaougua na kupona ni wengi kuliko wanaokufa? hata mie nikifa nitakuwa katika kundi la hao wachache hivyo sio hoja.Ngoja uugue upone
vahungilage mbevali ipoo..Mkangafu wa hatari na nimepiga na msapulo na kande!! Karibu sana nipo hapa Ipogolo kwa Mwagongo!!