Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Kumetokea vifo na ajali kadhaa vinavyohusu watumishi wa serikali na Idara zake hivi karibuni.
Vifo ninavyokumbuka:
1. Boti kuzama Kigoma na kuua watumishi 7
2. Askari polisi 5 na mahabusu 7 kufariki ajali gari la polisi
3. Gari Mkuu wa wilaya kukaidi amri ya kusubiri Inyala, Mbeya na kusababisha gari hilo kugongwa na mkuu huyo kupoteza maisha.
4. Askari wanyamapori 5 wameuwawa huko Tabora
5. Wafanyakazi wapimaji 3 kuuwa Morogoro
6. Magari kadhaa kugongana yenyewe msafara wa kiongozi , ilitokea mikoa ya kusini.
Hii ni dalili ya Utawala serikalini kuzorota.
Kanuni za discipline hazifuatwi na kila mtu ni mkubwa.
Jana gari la Idara fiche liligonga basi la abiria navdereva wa gari la Idara aliye na bastola kudiriki kumteka dereva wa basi hadharani.
Impunity kutenda makosa kwa wafanyakazi serikalini imekithiri.
Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ajitathmini kama anatosha.