Putin atajua hajui, swaiba wake Iran ndo mlezi na mfadhili wa hao magaidi..ISIS waki-claim kufanya ugaidi huo Urusi.
Hakuna muislamu hata mmoja ambaye ni gaidi.Magaidi wote ni Waislam lakini sio Waislam wote ni Magaidi
Kwa hiyo watetezi wote wa dini kama Houthi wa Yemen, Hizbullah wa Lebanon, Hamas wa Palestina, Al Shabaab wa Somalia, Boko Haram wa Nigeria, ADF wa Uganda, Janjaweed wa Sudan, nk.. wote hao wanamilikiwa na kutumiwa na makafiri USA?Hakuna muislamu hata mmoja ambaye ni gaidi.
Hao wanaojiita magaidi wana ajenda zao na mdhamini wao mkubwa ni U.S.A.
HatariiiPutin atajua hajui..
Islamic State na ugaidi ni kama ugali na mlenda.
ISIS ni akina nani??
ISIS (Islamic State of Iraq and Syria), is a Sunni jihadist group with a particularly violent ideology that calls itself a caliphate and claims religious authority over all Muslims...
Nafikiri sasa Russia watajionea wenyewe chungu ya hawa radicals na caliphates ambao wamekuwa wakiwa-support kiaina.
Wengine wana sema huo ni mpango wa CIA.
Wengine wana sema ni mchongo wa Ukraine.
Ila all in all, Rest in Peace kwa wahanga wote wa ugaidi wa kipumbavu kwa njia ya udangangifu wa kidini na imani.
1. HamasKwa hiyo watetezi wote wa dini kama Houthi wa Yemen, Hizbullah wa Lebanon, Hamas wa Palestina, Al Shabaab wa Somalia, Boko Haram wa Nigeria, ADF wa Uganda, Janjaweed wa Sudan, nk.. wote hao wanamilikiwa na USA?
Pole kwa wahanga wa Ugaidi huko Urusi.Nafikiri sasa Russia watajionea wenyewe chungu ya hawa radicals na caliphates ambao wamekuwa wakiwa-support kiaina.
Wengine wana sema huo ni mpango wa CIA.
Wengine wana sema ni mchongo wa Ukraine.
Ila all in all, Rest in Peace kwa wahanga wote wa ugaidi wa kipumbavu kwa njia ya udangangifu wa kidini na imani.