1. Hamas
Freedom fighters wa Palestine, hawa wanadili na Israel iliyo vamia makazi yao. Hadi kwenye vikao vya UN wanatambulika.
2. Al Shabaab
Hawa wapo kisiasa wanataka madaraka, walianza kushabulia Kenya baada ya kenya kuingilia yasiyowahusu.
3. ADF in kundi kama M23
4. Boko Haram.
kwanza wapo Nigeria ya kaskazini ambapo kuna waislam wengi.
Hawa wanashambulia misikiti na kuuwa waislam, wanateka wasichana wakiislamu mamia kwa mamia na kuwaka na kuwauwa.
Wana shambuli maeneo yenye mIkusanyiko huko North Nigeria na kuuwa waislamu..
5.ISIS.
Hawa ndiyo washenzi kabisa, popote utakapowasikia ujie kuna mali.
Waliwahi kufika hadi Msumbiji kwenye maeneo ambayo kunatarajiwa kuchimba mafuta.
Hawa utasikia wakijinadi kwa kuhusika na milipuko moaikini huko iraq.
Hawa wana maliza waislam huko Syria.
Hakuna Muislamu Gaidi, hata wewe naamini hivyo pia.