Vifo vyafikia 80 huku ISIS waki-claim kufanya ugaidi huo Urusi.

Sio mara ya kwanza kutokea. Mwaka 2002 wachechen waliwahi teka theatre iliyojaa watu hapo hapo Moscow Watu wengi walikufa.
Hivi ile walioteka kanisa ndio hii unayozungumzia au...huko ishu ya Uchaguzi haijakaa sawa na Putin anajaribu kuizima ingawaje ulinzi hana kwa raia wake yupo busy na vita...
 
Hivi ile walioteka kanisa ndio hii unayozungumzia au...huko ishu ya Uchaguzi haijakaa sawa na Putin anajaribu kuizima ingawaje ulinzi hana kwa raia wake yupo busy na vita...
Hii ilikuwa ya kwenye theatre, wanakofanyia maonesho yao nafikiri pamoja na mambo ya opera na music concerts.

...On 23 October 2002, 40 Chechen militants headed by warlord Movsar Barayev took 912 hostages at the Dubrovka Theatre in Moscow, where the popular musical Nord-Ost was showing.
Three days later Russian security services pumped sleeping gas into the hall, stormed it and killed all the attackers.
But some 130 hostages died - most not at the hands of the gunmen and women, but apparently because of the effects of the gas...

From BBC
 
Sio mara ya kwanza kutokea. Mwaka 2002 wachechen waliwahi teka theatre iliyojaa watu hapo hapo Moscow Watu wengi walikufa.
Aisee vita na chechen ilikuwa deadly
 
ISIL
 
Wanasema shahada za,
Wanaswali sala tano,
Wanaua kwa jina la Allah,
Ni waislamu.
Kuutetea uislam inhitaji uondoe.mshipa wa aibu..
 
Wanasema shahada za,
Wanaswali sala tano,
Wanaua kwa jina la Allah,
Ni waislamu.
Kuutetea uislam inhitaji uondoe.mshipa wa aibu..
Not logical...
Boko Haramu wana baka waislam kwajina la allah, Boko haram wanalipua misikiti na maenei mengine ya waislamu kwa jina la allah, wahanga wa vitendo vya Boko Haram ni waislamu wa Nigeria Kaskazini.
Operation kubwa za ISIS ni kwenye mataifa ya Kiislam, wana ua waislam.
Alafu wewe unasema hao Magaidi ni waisla kwa kigezo cha muonekano.

Jifunze kuhusu Propaganda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…