Vifurushi vya DStv kupanda bei kuanzia April Mosi mwaka huu 2024

Vifurushi vya DStv kupanda bei kuanzia April Mosi mwaka huu 2024

IMG_0465.jpeg
 
🙂
Mashirika yanayojiendesha kwa hasara...
ATCL-56Bilion
TTCL-800 million
TRC-100.7 Billion
TanOil-60+Billion
Posta-1.3Bilion

Haya Ni Baadhi yaliyosemwa leo na CAG, kwenye hasara mama anaupiga mwingi
NUNUA HIKO KIFAA UTANISHUKURU
hqdefault.jpg
 
Canal + wanaitaka hii kampuni, nadhani ni muda mwafaka Multi choice waache tabia za kiswahili kukomaa kuendesha kitu kilicho kushinda wawauze hii business otherwise sioni future njema kwa dstv. Wamekuwa wa kupunguza channels wakati huo huo wanaongeza bei za package.
 
Hivi DSTV wana shida gani? Kwa nini wanapandisha bei ya vifurushi mara kwa mara?

Au vifurushi vyao navyo ni kama petrol?
 
Back
Top Bottom