Blaszczykowski
JF-Expert Member
- Dec 20, 2022
- 339
- 1,164
Kuna mambumbumbu yatakuambia dstv gharama mfano mimi nalipia 11,000/- tu na mpira jana nimelipia 11,000/- nimepata channels za kifurushi cha 27,000/- ambacho kina ligi zote full kasoro epl na uefa champions league ambazo utaona mechi chache tu.Lakini channels ziko poa sana mimi napenda sana ESPN, discover channel, history channel , curiosity, mnet, na Supersport, radio channel za music 🎶 🎵 +, azam ukitoa ligi ya bongo hamna kitu pale
Kuanzia tarehe 1 Agosti 2025 DStv watakuwa na bei mpya kwa vifurushi na mkeka upo kama ifuatvyo;
DStv Poa - 11,500/=
DStv Bomba - 27,500/=
DStv Family - 40,000/=
DStv Compact - 68,000/=
DStv Compact Plus - 118,000/=
DStv Premium - 189,000/=
Extra view - 36,000/=
Ndani ya mwaka tu wamepandisha Mara mbili vifurushi. Au ndio canal amekuja kurudisha pesa zake mambo ni magumu sana.
hujajua kwanini kipindi mzunguko wa ligi za ulaya umeisha wanatoa offer back to back?Kuna mambumbumbu yatakuambia dstv gharama mfano mimi nalipia 11,000/- tu na mpira jana nimelipia 11,000/- nimepata channels za kifurushi cha 27,000/- ambacho kina ligi zote full kasoro epl na uefa champions league ambazo utaona mechi chache tu.
Kitu kingine ambacho DStv wamenikosha ukilipia kifurushi mfano cha 11,000/- baada ya siku mbili au tatu wanakutumia meseji ya offer ndani ya masaa 48 uongeze kiasi kidogo ili wakupandishe kifurushi cha juu walichokutajia kwenye meseji masaa 48 yakipita basi na hiyo inapita..hapa wamenikosha sana dstv sihamiii!
Umewahi kutumia DStv? Tangu nimenunua dstv sijaona changamoto ya gharama za vifurushi kutokana na channel ninazopata naridhika ili uangalie mpira lazima Azam tv lazima ulipe 28,000/- wakati dstv ni 11,000/- tu utanishauri nini? Hilo swali siwezi kujibu ila faida nonayopata dstv nimeshaeleza.hujajua kwanini kipindi mzunguko wa ligi za ulaya wanatoa offer back to back?
natumia dstv toka 2008.Umewahi kutumia DStv? Tangu nimenunua dstv sijaona changamoto ya gharama za vifurushi kutokana na channel ninazopata naridhika ili uangalie mpira lazima Azam tv lazima ulipe 28,000/- wakati dstv ni 11,000/- tu utanishauri nini? Hilo swali siwezi kujibu ila faida nonayopata dstv nimeshaeleza.
Sasa shida ipo wapi? Mimi nimeshaeleza faida ninazopata je nimedanganya? We eleza hasara basi!natumia dstv toka 2008.
Kwamba azam hakuna ESPN, DISCOVERY CHANNEL, HISTORY CHANNEL???Lakini channels ziko poa sana mimi napenda sana ESPN, discover channel, history channel , curiosity, mnet, na Supersport, radio channel za music 🎶 🎵 +, azam ukitoa ligi ya bongo hamna kitu pale
Mpira gani unaangalia kwa 11,000???Umewahi kutumia DStv? Tangu nimenunua dstv sijaona changamoto ya gharama za vifurushi kutokana na channel ninazopata naridhika ili uangalie mpira lazima Azam tv lazima ulipe 28,000/- wakati dstv ni 11,000/- tu utanishauri nini? Hilo swali siwezi kujibu ila faida nonayopata dstv nimeshaeleza.
Una kichwa kizito sanaMpira gani unaangalia kwa 11,000??
Yani hawa kila baada ya miezi kama 6 wanaongeza 2000. Nimeacha kutumia dstv toka mwez wa nne sasa ni mwendo wa internet na streaming tvs tu maana nikilipia 55000 kwa fiber au 70000 kwa airtel napata vyote. Internet na TVKuanzia tarehe 1 Agosti 2025 DStv watakuwa na bei mpya kwa vifurushi na mkeka upo kama ifuatvyo;
DStv Poa - 11,500/=
DStv Bomba - 27,500/=
DStv Family - 40,000/=
DStv Compact - 68,000/=
DStv Compact Plus - 118,000/=
DStv Premium - 189,000/=
Extra view - 36,000/=
Ndani ya mwaka tu wamepandisha Mara mbili vifurushi. Au ndio canal amekuja kurudisha pesa zake mambo ni magumu sana.
Tupo pamoja😅Waendelee kupandisha bei.
Hatutumii tena ving’amuzi vyovyote, simu inamaliza mambo yote. Kwanza muda wa kukaa kwenye TV hatuna.
Mkuu, kwa premium channels like BBC, Bloomberg, Food Network, National Geographic e.t.c, huwa unazipata vipi kwa IPTV free of dime?.Yani hawa kila baada ya miezi kama 6 wanaongeza 2000. Nimeacha kutumia dstv toka mwez wa nne sasa ni mwendo wa internet na streaming tvs tu maana nikilipia 55000 kwa fiber au 70000 kwa airtel napata vyote. Internet na TV
Haha Fawanews hatari sana.Sisi wa Fawanews hatuna stress sana 😅😅