Vifurushi vya Dstv kupanda kuanzia Agosti mosi 2025

Vifurushi vya Dstv kupanda kuanzia Agosti mosi 2025

Yeah japo hata ukisema utumie bando lako bado ni cheap, kulinganisha na hivyo vifurushi vya malaki, labda uwe mtu wa kuangalia tv kila siku na huchagui channels
Kwa bando hapana, Mimi na prefer Wi-fi.

Na mpaka kuna ving'amuzi au host zina toa free channels nyingi, za movie, mieleka, cartoon so vere tu
 
Umewahi kutumia DStv? Tangu nimenunua dstv sijaona changamoto ya gharama za vifurushi kutokana na channel ninazopata naridhika ili uangalie mpira lazima Azam tv lazima ulipe 28,000/- wakati dstv ni 11,000/- tu utanishauri nini? Hilo swali siwezi kujibu ila faida nonayopata dstv nimeshaeleza.
Acha uongo mpira gani utaangalia dstv kwa 11k
 
Kwa bando hapana, Mimi na prefer Wi-fi.

Na mpaka kuna ving'amuzi au host zina toa free channels nyingi, za movie, mieleka, cartoon so vere tu
Yeah inategemea na ratiba zako tu mkuu, sisi wengine kuna muda mechi zinatukutia tuko sehemu ambazo hatuna access na tv wala wifi, na hatujatembea na router kwahiyo kwa muda huo hatuna budi kutumia mabando tu
 
Yeah inategemea na ratiba zako tu mkuu, sisi wengine kuna muda mechi zinatukutia tuko sehemu ambazo hatuna access na tv wala wifi, na hatujatembea na router kwahiyo kwa muda huo hatuna budi kutumia mabando tu
Baridi tu, Kikubwa kufurahi tu.
 
Una kichwa kizito sana
Kifurushi cha 11,000/- utaangalia mechi baadhi za ligi mbalimbali
Kifurushi cha 27,000/- utaangalia mechi zote za ligi wanazoonyesha kasoro EPL na UEFA champions league kwenye hizi ligi mbili utaona baadhi tu ya mechi hutaangalia zote.
Kipi hujaelewa hapo?

Sasa hivi kuna kuna offier ya kupandishwa kifurushi ukilipia cha 11,000/- utapewa cha 27,000/-
Vilevile wanakuaga na offer zao kwa mfano umelipia kifurushi cha 11,000/- au 27,000/- wanakutumia meseji kwenye ile namba uliyosajilia king'amuzi baada ya siku mbili au tatu watasema uongeze kiasi fulani cha pesa kwenye smartcard yako ili wakupe kifurushi watakachokutajia kwenye hiyo meseji . Kwa kawaida offer hii inakuwa na limit ya yani ndani masaa 48 uweshalipa ikipita basi na offer inakuwa imepita.

Kama hujaelewa na hapa basi usiniquote tafadhali sihitaji notifications za kipumbavu!
Aisee Kuna hii hii chanel inaitwa CSB reality Kuna kipindi kinaitwa CHEATERs. Aisee acha kabisa
 
Nyi wa dstv emu tajeni vipindi mnavoviangalia na sisi tuvifahamu
 
Kuanzia tarehe 1 Agosti 2025 DStv watakuwa na bei mpya kwa vifurushi na mkeka upo kama ifuatvyo;

DStv Poa - 11,500/=
DStv Bomba - 27,500/=
DStv Family - 40,000/=
DStv Compact - 68,000/=
DStv Compact Plus - 118,000/=
DStv Premium - 189,000/=
Extra view - 36,000/=

Ndani ya mwaka tu wamepandisha Mara mbili vifurushi. Au ndio canal amekuja kurudisha pesa zake mambo ni magumu sana.
Wenyewe wanakwambia "It'S ON"!
 
Hamieni digitek tunainjoi 😀😀🏃‍➡️🏃‍➡️🏃‍➡️
 
Back
Top Bottom