The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Wwe, sony max ,b4uLakini channels ziko poa sana mimi napenda sana ESPN, discover channel, history channel , curiosity, mnet, na Supersport, radio channel za music πΆ π΅ +, azam ukitoa ligi ya bongo hamna kitu pale
Mchawi wi-fi ππ¦Sisi wa Fawanews hatuna stress sana π π
Yeah japo hata ukisema utumie bando lako bado ni cheap, kulinganisha na hivyo vifurushi vya malaki, labda uwe mtu wa kuangalia tv kila siku na huchagui channelsMchawi wi-fi ππ¦
Kwa bando hapana, Mimi na prefer Wi-fi.Yeah japo hata ukisema utumie bando lako bado ni cheap, kulinganisha na hivyo vifurushi vya malaki, labda uwe mtu wa kuangalia tv kila siku na huchagui channels
Hicho king'amuzi nilimnunulia dada wa kazi ila mimi ni DStvNjoeni star times muenjoi maisha.
Acha uongo mpira gani utaangalia dstv kwa 11kUmewahi kutumia DStv? Tangu nimenunua dstv sijaona changamoto ya gharama za vifurushi kutokana na channel ninazopata naridhika ili uangalie mpira lazima Azam tv lazima ulipe 28,000/- wakati dstv ni 11,000/- tu utanishauri nini? Hilo swali siwezi kujibu ila faida nonayopata dstv nimeshaeleza.
Yeah inategemea na ratiba zako tu mkuu, sisi wengine kuna muda mechi zinatukutia tuko sehemu ambazo hatuna access na tv wala wifi, na hatujatembea na router kwahiyo kwa muda huo hatuna budi kutumia mabando tuKwa bando hapana, Mimi na prefer Wi-fi.
Na mpaka kuna ving'amuzi au host zina toa free channels nyingi, za movie, mieleka, cartoon so vere tu
Baridi tu, Kikubwa kufurahi tu.Yeah inategemea na ratiba zako tu mkuu, sisi wengine kuna muda mechi zinatukutia tuko sehemu ambazo hatuna access na tv wala wifi, na hatujatembea na router kwahiyo kwa muda huo hatuna budi kutumia mabando tu
Shingo yako imebeba jaba tupu! Maelezo yangu nimerudia mara mbili lakini hujaelewa!Acha uongo mpira gani utaangalia dstv kwa 11k
Aisee Kuna hii hii chanel inaitwa CSB reality Kuna kipindi kinaitwa CHEATERs. Aisee acha kabisaUna kichwa kizito sana
Kifurushi cha 11,000/- utaangalia mechi baadhi za ligi mbalimbali
Kifurushi cha 27,000/- utaangalia mechi zote za ligi wanazoonyesha kasoro EPL na UEFA champions league kwenye hizi ligi mbili utaona baadhi tu ya mechi hutaangalia zote.
Kipi hujaelewa hapo?
Sasa hivi kuna kuna offier ya kupandishwa kifurushi ukilipia cha 11,000/- utapewa cha 27,000/-
Vilevile wanakuaga na offer zao kwa mfano umelipia kifurushi cha 11,000/- au 27,000/- wanakutumia meseji kwenye ile namba uliyosajilia king'amuzi baada ya siku mbili au tatu watasema uongeze kiasi fulani cha pesa kwenye smartcard yako ili wakupe kifurushi watakachokutajia kwenye hiyo meseji . Kwa kawaida offer hii inakuwa na limit ya yani ndani masaa 48 uweshalipa ikipita basi na offer inakuwa imepita.
Kama hujaelewa na hapa basi usiniquote tafadhali sihitaji notifications za kipumbavu!
Weka na cbs reality uone cheaters Kila siku Saa Tano usikuKifurushi changu ni POA na Channel zangu ni MTV, TRACE, BBC na Aljazeera.
Nikiwa na Familia ntawafungia Azam sebuleni, Wapate umbea wao
Wenyewe wanakwambia "It'S ON"!Kuanzia tarehe 1 Agosti 2025 DStv watakuwa na bei mpya kwa vifurushi na mkeka upo kama ifuatvyo;
DStv Poa - 11,500/=
DStv Bomba - 27,500/=
DStv Family - 40,000/=
DStv Compact - 68,000/=
DStv Compact Plus - 118,000/=
DStv Premium - 189,000/=
Extra view - 36,000/=
Ndani ya mwaka tu wamepandisha Mara mbili vifurushi. Au ndio canal amekuja kurudisha pesa zake mambo ni magumu sana.
Namba ngapi hiyo channel?Aisee Kuna hii hii chanel inaitwa CSB reality Kuna kipindi kinaitwa CHEATERs. Aisee acha kabisa
132Namba ngapi hiyo channel?