Vifurushi vya Dstv kupanda kuanzia Agosti mosi 2025

Canal+ vifurushi vyao viko chini sana hata matonya ataweza kulipia kuliko vifurushi vya mkaburu
 
Punguza UTAPELI. DSTV now hamna kazi mimi najuta kununua hii TAKATAKA
 
Yani hawa kila baada ya miezi kama 6 wanaongeza 2000. Nimeacha kutumia dstv toka mwez wa nne sasa ni mwendo wa internet na streaming tvs tu maana nikilipia 55000 kwa fiber au 70000 kwa airtel napata vyote. Internet na TV
Hivi hakuna namna ya kuunganisha simu na smart tv ili uangalie mechi vizuri?
 
Acheni hizo
Mzee kwa nia njema tu nimefafanua vifurushi vya DStv watu wameanza kuniita tapeli kuna sehemu mimi nimesema nauza madish ya dstv kwamba nawashawishi wanunue? Mimi nina affiliation yeyote na DStv? Cha ajabu wameanza kunitukana na kuniita tapeli.
 
Temana nao
 
Mechi ipo live kifurushi cha 11,000/-( bei mpya kwa sasa 11,500/-)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…