Toa maelekezo kwa mawaziri wako wasilazimishe kodi zaidi kutoka mashirika ya mawasiliano.
Wacha tusubiri hayo masaa 24 yaishe tuone mabadiliko
Hivi unaamini Makamu wa Rais atakua na akaunti ambayo haipo verified?
Huyu mzee naona naye amekuwa msemaji mkuu wa serikali
Ni kweli serikali imesitisha, tusubiri hayo masaa 24 tuone utekelezaji. Hata hivyo mimi siamini kama hiyo tweet ni ya Dr Mpango.
Ndiyo hizi ni kikiAu ndio kutafuta kiki
Wacha weeKuverify akaunti mpaka yeye alifanyie kazi yeye ndio anaomba siyo wao kumuomba